Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,417
kwa muda mrefu nilikuwa napata shida sana kila nnapodownload file lenye extension ya .iso, .daa, .img, na mengine ambayo yanakuwa na image za cd au dvd
ilinibidi kwanza ni extract content via winrar kisha nitumie vilivyomo, au ni burn kwenye cd kisha niitumie na cd natupa nikimaliza, sasa nimejikuta nna cd karibu mia mbili ambazo hata sizihitaji tena, nikaona huu ni ufujaji wa mali, nikawaza, hivi hakuna njia ingine, basi katika ufukunyuku nikagundua kitu,
kuna kitu kinaitwa poweriso, ultraiso na jamii zake , mwanzo nilizitumia kutengenezea bootable cd au images ila nikagundua feature ya muhimu ambayo mpaka leo imenifanya niachane na matumizi ya flash au cd katika kuinstall windows na kufungua mafaili ya .iso, .daa, .img, na mengine,
enough of stories, ngoja niwape nnachotaka kuwapa,
_______________________________________________________________
JINSI YA KUINSTALL WINDOWS AU OS INGINE KWENYE PC BILA CD/FLASH

1. Install Poweriso au yoyote utakayopenda (naipenda poweriso, ntatumia kuwaelekezea)
ukiinstall itatengeneza virtual drive manager(hii tutaitumia kutengeneza virtual drive)
cha kufanya
a) kwenye taskbar utaona ki cd cha njano, hebu ki click kisha
b) set number of drives,
c) chagua moja tu kwa kujifunzia sio mbaya
baada ya hapo ukienda kwenye my computer utaona kuna drive mpya imeongezeka (eg drive f:/)
2. nenda kwenye file lako la iso mfano "Win.8.Pro.x86.iso" right click kisha kwenye context menu chagua poweriso>mount > kisha chagua iyo virtual drive (eg: drive f:/) sasa ukienda kwenye my computer utaona iyo drive yako ina jina la iyo windows unayotaka kuinstall
3. hebu iclick au right click kisha run setup uone
voilaaaaa, baada ya hapo endelea na utaratibu wa kawaida kuinstall hiyo OS
TAHADAHARI: 1. kama unaformat iyo partition unayotaka kuinstall windows mfano unataka kuinstall windows kwenye c:/ basi hakikisha poweriso umeinstall kwenye parttion ingine eg D:/ na lile file la windows .iso liko kwingine zaidi ya c:/ unaweza liweka pia kwenye D:/
2. hakikisha poweriso virtual drive umetick autostart na automount (nenda options za poweriso kwenye taskbar)
_______________________________________________________
JINSI YA KURUN CONTENT ZA ISO BILA KU EXTRACT IYO ISO

Fuata step 1, 2, na 3
hakikisha una unmount baada ya kumaliza shughuli zako
kwa leo inatosha au sio wadau. kama una maswali, maoni, vya kuongeza waweza tiririka hapo chini