h120
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 2,530
- 3,315
Kwemaa.
Kitambo huku sijafika.
Wengi najua mnatumia Rufus na tools nyingine kuandaa USB bootable kwa ajili ya windows installation na OS nyinginezo.
Kuna wale wanapata usumbufu kutengeneza bootable kila mara kulingana na OS anayotaka muda huo.
Rufus na tool nyingine nyingi zina uwezo wa kutumika kufanya installation ya OS moja tu kwa wakati, zipo baadhi zinazosupport multi OS boot ila zina changamoto au mara nyingi hazifanyi kazi vizuri.
VENTOY
Hii ni tool ya kutengeneza USB bootable devices kwa urahisi zaidi kuliko zote.
SIFA ZAKE
-Unahitaji kucopy na kupate ISO image kwenye flashdrive au ext HDD.
-Unaweza copy ISO images za OS mbalimbali wakati wa ku boot itakuletea menu ya kuchagua OS unayotaka ku-install.
-Haina process nyingi ukisha download una format drive yako kwa kutumia hiyo tool umemaliza inabaki kazi ya ku copy tu hizo Images zako.
-Ext HDD au flash drive yako unaweza kuitumia kama kawaida kuhamisha mafaili na kuhifadhia vitu vyako kama movies bila kuhathiri uwezo wake wa kufanya OS's installation.
-Unaweza kucopy hizo ISO kwenye directory yoyote ndani ya ext HDD au flash ina uwezo wa ku search hizo ISO images.
-OS zaidi ya 200 zimeshajaribiwa na kufanya kazi vizuri na hii tool
Jaribu leta mrejesho
Download Link