Msaada: Kuchumbia uhayani

Wewe ndio una matatizo uanyefikiri watu wa mtandaoni ni tofauti na una kutana nao mtandaoni wakati na wewe umo humohumo au unahisi duniani unatoka peke yake kuja kukutana na sisi wa mtandaoni?
Ungemuuliza huyo mchumba wako kama uko serious na sio kuja kuokoteleza humu
 
Nimeoa huko Ili ufanikiwe tafuta mjuzi wa taratibu zao wako poa tuu,ila inategemea unaoa familia ipi ,Kuna mambo mengi utaambiwa
Mfano kitera nyingi
Mkeka
N.k,wako simple tuu
 
Utamtafuta mshenga kwa kusaidiana na binti(mshenga sanasana anakuwa anajua taratibu zote anawadirect kila hatua naye ndo anakuwa msemaji mkuu)
Baada ya hapo mtapanga siku ya kwenda kujitambulisha, tarifa zitatolewa na mtakaribishwa kabla ya yote na wala hamjaanza mazungumzo kuna hela ya kupita mlangoni na ya mkeka(mlangoni 500k na mkeka 100k ),mkishalipa hiyo hela mtaruhusiwa kuingia ndani mtakaa na kuanza kuongea.
Mazungumzo yenu ni pamoja na kujileza nyie ni akina nani na dhumuni la kuwa pale.
Baada ya hapo wataleta orodha ya vitu vinavyotakiwa ili uweze kumchukua binti yao
Mfano,ni mfano tu jamani
Suti ya baba 150000
Hela ya mama mfano simitank ltr 5000 na kg 25 sukari
Baba wadogo.150000
Wajomba. 150000
Shangazi 10000
Mama wadogo 10000
Kaka zake 150000
Blanket ya bibi. 50000
Hela ya babu 10000
Hela ya wazazi wa kiroho. 50000
Mahari millioni 6
Baada ya kusoma hiyo karatasi mtaangalia ikiwa mnaweza kuanza kulipa hivo vitu mnalipa mda huo huo(na huu ndo mda wa mshenga kuwasaidia kubagain yaani inaweza pungua kutoka 100k kuja mpaka 50k hapo ni umahiri wenu kwenye kujitetea na kutia huruma)kwa hapa mtalipa vile mtavyoweza na vinavyobaki mtaenda kujipanga tena.mfano mnaweza maliza vile vingine alafu mahari mkajipanga siku nyingine.
Cha muhimu mtabagain ukiwa na hela mkononi
NOTE.
Gharama hizo zinatofautiana kulingana na family status lakini pia status ya binti(educated vs non educated kuna tofauti kubwa kwenye mahari)
Lakini pia njia ya kuoa,ukienda kuchumbia direct ndo utakutana na gharama za kutosha,ukioa ile ya usiku ukija unapigwa faini halafu gharama zinakuwa ndogo sana
Na mwisho,mahari unaweza kukopwa umalize taratibu taratibu hapa kuna watu wanazeeka mpaka hawajamaliza mahari,ila ukifata process zote kuna heshima fulani.
MWISHO
Unapoenda kujiintroduce jitahidi uwe na vichenji angalai si chini ya 1M la sivyo utaishia mlangoni
Duh 🤔Mimi hyo gharama hata ukoo hawawezi nilipia watanipa mtoto wa mzee massawe wa kule Narumu
 
Duh Mimi hyo gharama hata ukoo hawawezi nilipia watanipa mtoto wa mzee massawe wa kule Narumu
Nimeeleza option mbili ukiwa haujiwezi,lakini pia nimezungumzia kwa inavary kulingana na familia pamoja na status ya mwanamke,hamna linaloshindikana
 
Nafsi yangu inanituma kuoa baada ya kupitia maisha yenye karibu kila sura na nimempata binti mzuri wa sura na nafsi ambaye pamoja na ujinga na uchafu wangu amekua na mimi kwa takribani miaka miwili sasa ninawiwa kumuoa

•Ninaomba msaada kwa wazoefu ninahitaji kufanya taratibu zipi za kimila ninapokwenda kuchumbia uhayani?
Inabidi uwe govi ili umchape katerero vizuri
 
Binti anatakiwa kuulizia mwongozo kupitia kwa mama. Mama atawasiliana na baba halafu wataleta mrejesho kwa binti. Kiujumla familia itamteua mjumbe atakayewasiliana na mshenga juu ya utaratibu. Kawaida ya Wahaya mahari zinalipwa kwa awamu labda kama zitapelekwa kimjini.

Kuna awamu ya kuleta mafao ya wazazi au ikaunganishwa na babu na Bibi (Hapa kuna kitenge cha maana cha mama, blanketi ya nguvu, shuka. Vinasindikizwa na pombe ya kyenyeji-a.k.a RUBISI, mikungu ya ndizi na mapochopocho).

Kuna awamu ya mafao ya kaka zake au ikaunganishwa na shangazi na wajomba. Aki na kaka wanahitaji beberu la nguvu linalotoa kiharufu na lenye kidevu cha maana. Beberu anasindikizwa na mapochopocho pia.

Kawaida mahari za Wahaya hazina gharama sana kama ni kijijini ila mjini utakutana na Nshomile waanze kukuthamanisha kama kabila fulani.
Wengine wataongezea

Hapo umempatia utaratibu sahihi.
 
Lazima uende na magunia matatu ya hawa wadudu vinginevyo emana huipati ng'o!

IMG-20161208-WA0001.jpg
 
Utamtafuta mshenga kwa kusaidiana na binti(mshenga sanasana anakuwa anajua taratibu zote anawadirect kila hatua naye ndo anakuwa msemaji mkuu)
Baada ya hapo mtapanga siku ya kwenda kujitambulisha, tarifa zitatolewa na mtakaribishwa kabla ya yote na wala hamjaanza mazungumzo kuna hela ya kupita mlangoni na ya mkeka(mlangoni 500k na mkeka 100k ),mkishalipa hiyo hela mtaruhusiwa kuingia ndani mtakaa na kuanza kuongea.
Mazungumzo yenu ni pamoja na kujileza nyie ni akina nani na dhumuni la kuwa pale.
Baada ya hapo wataleta orodha ya vitu vinavyotakiwa ili uweze kumchukua binti yao
Mfano,ni mfano tu jamani
Suti ya baba 150000
Hela ya mama mfano simitank ltr 5000 na kg 25 sukari
Baba wadogo.150000
Wajomba. 150000
Shangazi 10000
Mama wadogo 10000
Kaka zake 150000
Blanket ya bibi. 50000
Hela ya babu 10000
Hela ya wazazi wa kiroho. 50000
Mahari millioni 6
Baada ya kusoma hiyo karatasi mtaangalia ikiwa mnaweza kuanza kulipa hivo vitu mnalipa mda huo huo(na huu ndo mda wa mshenga kuwasaidia kubagain yaani inaweza pungua kutoka 100k kuja mpaka 50k hapo ni umahiri wenu kwenye kujitetea na kutia huruma)kwa hapa mtalipa vile mtavyoweza na vinavyobaki mtaenda kujipanga tena.mfano mnaweza maliza vile vingine alafu mahari mkajipanga siku nyingine.
Cha muhimu mtabagain ukiwa na hela mkononi
NOTE.
Gharama hizo zinatofautiana kulingana na family status lakini pia status ya binti(educated vs non educated kuna tofauti kubwa kwenye mahari)
Lakini pia njia ya kuoa,ukienda kuchumbia direct ndo utakutana na gharama za kutosha,ukioa ile ya usiku ukija unapigwa faini halafu gharama zinakuwa ndogo sana
Na mwisho,mahari unaweza kukopwa umalize taratibu taratibu hapa kuna watu wanazeeka mpaka hawajamaliza mahari,ila ukifata process zote kuna heshima fulani.
MWISHO
Unapoenda kujiintroduce jitahidi uwe na vichenji angalai si chini ya 1M la sivyo utaishia mlangoni
Mahari milioni 6
 
Nafsi yangu inanituma kuoa baada ya kupitia maisha yenye karibu kila sura na nimempata binti mzuri wa sura na nafsi ambaye pamoja na ujinga na uchafu wangu amekua na mimi kwa takribani miaka miwili sasa ninawiwa kumuoa

•Ninaomba msaada kwa wazoefu ninahitaji kufanya taratibu zipi za kimila ninapokwenda kuchumbia uhayani?
Kama wewe sio muhaya jiandae kukataliwa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom