Msaada kubadilisha comb ya form five uliyopangiwa shule za serikali.

Msaada kubadilisha comb ya form five uliyopangiwa shule za serikali.

Ndio mkuu, waziri ametoa hyo option. Ukichelewa shule zikafunguliwa mlolongo utakua mrefu sana.
Samahani mkuu aliyetoa hiyo taarifa ni waziri wa wizara gani. Nimeongea na mtu wa wizara ya Elimu kasema wao hawahusiki labda TAMISEMI.
 
Mtafute headmaster shule anazo taka kuamia uliza nafasi za masomo kwa kombi hizo. Aende kuripoti shule aliyopangiwa. Kama headmaster atakwambia nafasi ipo chukua uhamisho nenda iyo shule.

Jitahidi mkono usiwe mfupi
 
Asante Mkuu. Najua bongo hakuna msaada wa Bure, Yani hapo lazima fungu la mkono wa Asante tuliandane.
 
Back
Top Bottom