kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,487
- 5,111
Heshima yenu wakubwa,
Naombeni kufahamishwa mbinu za kuanzisha mbinu za e-commerce kama Amazon, Alibaba na kibongo bongo kama Kupatana.
Nipeni msaada wa je kuanzisha na kuendesha kwake huwaje na kufanya niweze kupata pesa na pia kuhusu mikataba baina ya mimi na huyo anaye host yaani hakimiliki (mimi sio expert wa computer nina degree ya mambo ya biashara ).
Na vipi ikitokea nahitaji kubadili host mfano mwaka huu labda host A ndiyo alikuwa ana host web yangu lakini baadaye baada ya miaka michache nikaona host A hayupo sawa huduma zake na nikawa natamani kumtafuta Host B awe ndiyo host vipi, je haiwezi kuleta athari na je inawezekana.
Na kama kuna mengine nimesahau nipeni msaada ili niweze kuanzisha hiyo.
Natangulisha kusema asanteni