Msaada kuacha tigo

Fidel, fidel??!!, hivi kweli unajua unachoongea,,au unataka kuchekesha tu hapa ndani,, kwani tunaposema katika shida na raha hii ndiyo tafsiri yake??? Ya kuvumilia hata unapoliwa tigo???.....hili ni tatizo tena kubwa sana, huyu dada lazima apate ufumbuzi tena haraka,,ila akisubiri eti yeye kuachwa..hapo utakuwa utata kwani huyo mumewe katili hawezi kumwacha ksb anapewa anachoka kwa huyo mke...kinachotakiwa ni mke kuchukua hatua,,kwani hapo hakuna mapenzi / upendo bali ni huyo mke kutumika tu na huyo mume kukidhi ushetani wa huyo mume.....

Hatua nyingi sana zimependekezwa humu ndani, zitafakari ili mwisho wa siku upate dawa ya hilo tatizo lako,,pole sana.
 
Avumilie tu ndo mambo ya Ndoa hayo baadae ataona kawaida.

Nyie mnataka afanyaje? Amnyime mmewe wa ndoa?

Akisha mnyima aanze kuchukua Machangu kisha alete upupu ndani ya nyumba?

Na akisha pata upupu ndo basi tena.

Avumilie aliapa wataishi kwa shida na raha, kwake shida kwa jamaa raha.

Baadae nae atazoea atakuwa anapata raha tu.

Fidel nilikuwa nakuheshimu ila heshima yangu yote imeishia hapa!! yaani unadeliki kusupport unyama anaofanyiwa huyu dada>

Dada chukua hatua haraka maana maamuzi yote unayo wewe ondoka nenda kwenu kama huwezi panga kwako hiyo ndoa ni ya laana kama mtu anataka kukufanyia ushenzi huo. Usisubiri wazazi wala nini maana kama imefikia mara tatu na wewe umekaa tu eti unasububi ushauriwe b inafsi sikuelewi. madhara ya hiyo kitu ni makubwa sijui umeishazaa au bado... kimbia sana dada kama ni kuolewa utapata mwanaume mwingine hilo ni jinamizi.
 
Aisee, pole sana.
Inasikitisha kwa mtu aliyeahidi kukulinda katika hali zote, lakini anaonesha ubinafsi wa hali ya juu!
Sijui nia yake ni nini?
Samahani dada, ingawa hujatueleza umri wako, au hata dini yako, na kama una watoto ?
Itasaidia kwa wachangiaji kuweza kukupa ushauri wenye kujenga zaidi bila kukisia.

Kwa mie ningeshauri uwaone viongozi wa dini huko mnakoabudu. Waeleze yote. Pia unaweza kumuona bosi wake hapo jeshini, then urudi nyumbani kwenu kwa wazazi wako mpaka atakapokuja kukuahidi kwa kuomba msamaha wa kutorudia tena. Haya nayaongea niki-assume kwamba utaweza kujikimu kimaisha, maana watanzania wengi umaskini unatufanya tushindwe kufanya tunayotaka.

Pia kama unafamilia yenye watoto wadogo, kama akichukuliwa hatua za kinidhamu kuna mzigo wa kuwatunza watoto..any hebu tuweke wazi kama una watoto au?

Anahitaji kukuheshimu, na ajue kabisa kwamba unapata maumivu, wewe ni binadamu sio mzigo au ngo'mbe. Ni lazima umshinikize aweze kuyafahamu haya.

nina umri wa miaka 30 na mtoto mmoja wa miaka 3, kujikimu ntaweza tu nna ajira .
 
Pole sana dad
huyo mwanaume ni zaidi ya mnyama, anashuhudia unavyolia kwa
maumivu naye anafurahia
hakufai kabisa ni bora umweleze umeshindwa kuvumilia
tabia hiyo na uondoke ukaanze maisha mapya yenye furaha na amani
 
Mimi nakushauri hivi:
1. Kama una wazazi rudi kwenu.
2. Ukienda polisi utazua mambo mengine nenda tu home
3. Ukienda TAMWA atakufanyia mambo mengine
4. Kama unandoa ya kanisani omba muachane kisheria (mahakamani)
5. Usije ukawa mjinga kuvumilia upumbavu wake huo (maana naimagine hayo maumivu aakhhhh)
6. Huyo si Baba wala mama au nisema wazazi wako kuwa hutapata wengine achana nae
7 Hilo kosa ukimpeleka hata kwa paroko, mchungaji, hiyo ndoa inavunjwa maramoja

Naomba niishie hapa maana hii thread imeharibu kabisa siku yangu kwa hasira nilizonazo kwa huyo mumeo mjinga
 
nina umri wa miaka 30 na mtoto mmoja wa miaka 3, kujikimu ntaweza tu nna ajira .

Asante kwa kulifahamu hili. Dini ya Kikristo inakataza kuvunjika kwa ndoa, isipokuwa kwa swala la uasherati. Nafikiri kwa ujumla unampenda mumeo. Ila ni muhimu ajue kuwa wewe ni binadamu na hauridhishwi na vitendo vyake. Maana kama amefikia hatua ya kukupiga bila shaka hata kukutukana, kuna haja ya wewe kutafuta njia mbadala ya kumfundisha somo.

Zaidi sana mshirikishe Mungu kwa hekima zaidi. Najua umemuheshimu sana. Lakini ni wakati wa yeye pia kukuheshimu. CHUKUA HATUA. Ondoka kwake kwanza. Mungu akijalia, kama atatubu na kukuahidi, utapima wewe mwenyewe
Ni hayo tu, naamini wanajamvi watakuwa na mengi ya kukushauri.
 
Mimi nakushauri hivi:
1. Kama una wazazi rudi kwenu.
2. Ukienda polisi utazua mambo mengine nenda tu home
3. Ukienda TAMWA atakufanyia mambo mengine
4. Kama unandoa ya kanisani omba muachane kisheria (mahakamani)
5. Usije ukawa mjinga kuvumilia upumbavu wake huo (maana naimagine hayo maumivu aakhhhh)
6. Huyo si Baba wala mama au nisema wazazi wako kuwa hutapata wengine achana nae
7 Hilo kosa ukimpeleka hata kwa paroko, mchungaji, hiyo ndoa inavunjwa maramoja

Naomba niishie hapa maana hii thread imeharibu kabisa siku yangu kwa hasira nilizonazo kwa huyo mumeo mjinga

asante sana Dena nasoma ushaur wenu hadi nalia. Hata police hakuna mazingira rafiki ya kuwarepotia.
 
asante sana Dena nasoma ushaur wenu hadi nalia. Hata police hakuna mazingira rafiki ya kuwarepotia.

Jamani wewe dada...issue yako imenipa uchungu sana!Pole sana dear! Kweli kabisa Mungu akusaidie kwenye hilo tatizo. Jamani ndoa ni kufurahia na sio mateso! Nitakuombea dear, Mungu akusaidie katika hili! Ila kama unaweza kutengana naye kwa muda, fanya hivyo wakti ukimwomba Mungu amponye huyo mume wako! Inawezekana Mungu akambadilisha, akaacha huo unyama! Pole sana dear! hii inauma kupita maelezo!
 
Pia nashauri wanajamvi tuwe makini na mambo tunayochangia humu??

Leo unatuambia hivi

....... Kuniacha hataki. Naumia sana moyoni. Kuwaambia wazaz naogopa. Nisaidien mkakati wa kujitoa kwake au nikashtakije kwa wazazi. Naamin Jf ni sehem sahihi ya kupata michango ya kujenga.

Wakati posts za nyuma huko ulikuwa ukiyaongea haya...

Hamjambo wanajamvi wote pole na mgao. Mwenzen kuna tatizo lanikwaza na kunikondesha kwa kweli. Niko kwenye mahusiano huu mwezi wa nne. Katika maongez na huyo mwenzangu akaniambia mambo yake mbalimbali ya maendeleo na mimi nikamwambia nna kakibanda kangu japo cjakamalizia basi imekuwa nongwa anaiponda mbaya, mara wadogo zangu wanafanya Masters, mara nataka kununua coaster, mara nyumba yangu ni m70. In short ka amani kamepotea kimtindo, nna vijimiradi anaviponda pia .sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini?hanijali tena kama zamani. Msaada wa mawazo ndgu zanguni. Asanteni

https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=1683192

Na nyingine hii

Huu mchezo ni mbaya mno nishaufanya mara moja .Haufai niliugulia siku tatu . Najutaga sana sitakaa nirudie tena Mungu na wanajamvi wote mnisamehe. Kama kuna mtu humu jamvin anaweza kunipa maushauri ntashukuru sana. Valentine njema.

https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=1620495

Mtatufanya Mungu atuhukumu bure jamani.. Unasema upo kwenye ndoa,...hapo kwenye red umesema upo kwenye mahusiano kwa miezi 4..
Nashindwa kuelewa upo kwenye mahusiano ya miezi 4 na nani?

Na hiyo ni miradi gani??

Tunajua mateso unayopata, lakini tusidanganyane hapa jamvini kama watoto wadogo. leo unasema hiki, kesho tena unasema hiki. Sasa unataka kutuambia nini hapa?? wewe ni mwaminifu kwenye ndoa yako.??
Je hiyo ni adhabu mume wako aliyokupa ?? hakuna anayejua..ila tafuta muda wa kupumzika wewe mwenyewe..vinginevyo utuambie ukweli hapa. Vinginevyo mnatukwaza sana...

Asante..
 
:nono:Hii hakubaliki na haipo...ni kutokuiheshimu ndoa na pia kumheshimu mwenzi wako:nimekataa

Natumaini mu wazima week end hii,mi naomba mjadili hili swala la mapenzi kinyume cha maumbile(tigo)katika ndoa kwani katika mijadala mingi jambo hili hujadiliwa haswa linapokuwa nje ya ndoa lakini kuna watu walioko kwenye ndoa ambako jambo hili hutokea sana lakini halijadiliwi kwani watu huona kama vile si mahali pake vile!lakini ukweli ni kwamba lipo na wenzetu wazungu hulijadili waziwazi huku baadhi yao wakisema kufurahishwa sana na mchanganyiko wa tigo na ngono mbabadala kwenye ndoa zao na hili eti hudumisha penzi.Ebu wana jamii tulijadili hili kwa wenye maoni zaidi.Mi bado sijaoa hivyo naondoa swala la conflict of interest.
 
Pia nashauri wanajamvi tuwe makini na mambo tunayochangia humu??

Wewe dada na wewe angalia hizi posts zako za nyuma

https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=1683192

Na nyingine hii

https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=1620495

Mtatufanya Mungu atuhukumu bure jamani.. Unasema upo kwenye ndoa,...hapo kwenye red umesema upo kwenye mahusiano kwa miezi 4..
Nashindwa kuelewa upo kwenye mahusiano ya miezi 4 na nani?

Na hiyo ni miradi gani??

Tunajua mateso unayopata, lakini tusidanganyane hapa jamvini kama watoto wadogo. leo unasema hiki, kesho tena unasema hiki. Sasa unataka kutuambia nini hapa?? wewe ni mwaminifu kwenye ndoa yako.??
Je hiyo ni adhabu mume wako aliyokupa ?? hakuna anayejua..ila tafuta muda wa kupumzika wewe mwenyewe..vinginevyo utuambie ukweli hapa. Vinginevyo mnatukwaza sana...

Asante..

Duh mpendwa uko juu yaan humu jf watu wako makini sana siku nyingine ukileta jambo humu uwe serious dada wewe, haya maadam ulishaleta jambo lako hili tuambie ukweli sasa tunasubiri, yule wa miezi minne ni nani na mwanajeshi ni nani
 
Ulivyosema unajisikia kulia imenisikitisha sana,machozi yananitoka bila hata kupanga, pole sana dada kibiritingoma,,,ukishachukua hatua ya kuondokana na hilo tatizo naamini maumivu uliyonayo yataisha itabaki historia tu ktk maisha yako ya ndoa.

Mungu atakusaidia utamlea huyo mwanao bila shaka, na sikushauri hata umwache na baba yake ksb huyo mume hafai hata kuwa baba mlezi wa mwanao..nenda ukaishi na mwanao huko utakakoamua kwenda kuishi.

Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu ulichonacho,,pole sana sana.
 
Avumilie tu ndo mambo ya Ndoa hayo baadae ataona kawaida.

Nyie mnataka afanyaje? Amnyime mmewe wa ndoa?

Akisha mnyima aanze kuchukua Machangu kisha alete upupu ndani ya nyumba?

Na akisha pata upupu ndo basi tena.

Avumilie aliapa wataishi kwa shida na raha, kwake shida kwa jamaa raha.

Baadae nae atazoea atakuwa anapata raha tu.

Wewe Jana ulienda kanisani kweli?
Mbona hivi, au ulikesha baa!!!
Vipi umelala au umeamka?
 
Duh mpendwa uko juu yaan humu jf watu wako makini sana siku nyingine ukileta jambo humu uwe serious dada wewe, haya maadam ulishaleta jambo lako hili tuambie ukweli sasa tunasubiri, yule wa miezi minne ni nani na mwanajeshi ni nani

Inaonesha ni kweli ana matatizo haya..lakini inawezekana yapo ndani sana, yaani yamefikia hatua ambayo imemchosha! Pia ni muhimu aweke mustakabali wa mahusiano yake.. mwanajeshi ni nani na miezi 4 ni nani??

Tunapotenga muda wetu kutoa ushauri, ni vizuri tukaambiana ukweli
 
aaah yamekuwa haya tena?????!!!!!, kumbe alishawahi kuleta issue zingine kama hizi???,,LAKIN MI NAONA PAMOJA NA HAYO BADO SIYO HAKI YAKE KUFANYIWA UNYAMA KAMA HUU ANAOFANYIWA NA HUYO MWANAJESHI.

TAFUTA SULUHISHO LA HILI TATIZO PIA UNATAKIWA UJIFUNZE KUPITIA HILI LINALOKUKABILI HIVI SASA....
 
Back
Top Bottom