Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
Huyu yupo Kaunta ya baa...Wewe Jana ulienda kanisani kweli?
Mbona hivi, au ulikesha baa!!!
Vipi umelala au umeamka?
Huyu yupo Kaunta ya baa...Wewe Jana ulienda kanisani kweli?
Mbona hivi, au ulikesha baa!!!
Vipi umelala au umeamka?
Pia nashauri wanajamvi tuwe makini na mambo tunayochangia humu??
Leo unatuambia hivi
Wakati posts za nyuma huko ulikuwa ukiyaongea haya...
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=1683192
Na nyingine hii
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=1620495
Mtatufanya Mungu atuhukumu bure jamani.. Unasema upo kwenye ndoa,...hapo kwenye red umesema upo kwenye mahusiano kwa miezi 4..
Nashindwa kuelewa upo kwenye mahusiano ya miezi 4 na nani?
Na hiyo ni miradi gani??
Tunajua mateso unayopata, lakini tusidanganyane hapa jamvini kama watoto wadogo. leo unasema hiki, kesho tena unasema hiki. Sasa unataka kutuambia nini hapa?? wewe ni mwaminifu kwenye ndoa yako.??
Je hiyo ni adhabu mume wako aliyokupa ?? hakuna anayejua..ila tafuta muda wa kupumzika wewe mwenyewe..vinginevyo utuambie ukweli hapa. Vinginevyo mnatukwaza sana...
Asante..

Inaonesha ni kweli ana matatizo haya..lakini inawezekana yapo ndani sana, yaani yamefikia hatua ambayo imemchosha! Pia ni muhimu aweke mustakabali wa mahusiano yake.. mwanajeshi ni nani na miezi 4 ni nani??
Tunapotenga muda wetu kutoa ushauri, ni vizuri tukaambiana ukweli
Hadithi za kutunga zimezidi hasa jukwaa hili.Kweli hii inaudhi haswa!!! Yaani kweli siku zimeharibika kwa kukuonea huruma..kumbe inawezekana ni hadithi za kutengeneza...!!! Kweli kama ndo mambo yenyewe haya, mimi umenikwaza wewe dada!!....
Asante mpendwa kwa kutuletea hizi taarifa..!!!
Ha ha ha umeshamuumbua nafuta pole zangu zoooote
Namfikiria mwanajeshi....................
Halafu nakifikiria hicho kitendo.......................
Halafu najikuta nikisema hivi, yani hiyo mara ya kwanza tu, nisingesubiri
mara ya pili.
Yani nina mama na baba, kaka na dada, marafiki wa kike na wa kiume, bado navumilia huo ufirauni.
Hadi niende hospitali, halafu nirudi tena kwako, kwamba sijakombolewa kifikra au?
Kwamba nakutegemea kila kitu au?
Kwamba bila wewe siwezi kuishi au?
Kwanza mi nisingesubiri hadi unaifanyie huo ushenzi kwa mara ya kwanza, ile tu umeonesha hiyo dalili,
Basi ninafungusha aisee.
Dada una mtoto mmoja anakushinda kweli.
Ndoa kitu gani mbele ya uhai na afya na uzima wako?
Hebu jikaze kiume achana na huyo Mbwa atakuua bureeeeeeeeeee!!!!
Khaaaaaaaaaa Mungu niepushie Hiii balaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
hivi ikitokea kama wote wamekubaliana kufanya wakashitaki wapi?kiongozi leo umeamkia wapi
Mwalimu... heshima sana kwa kuwa analyticalLD
Nirahisi kuongea ssa kwa kuwa halijakufika na kumlaumu kuwa "hajakombolewa kifikra" kutamfanya ajisikie vibaya tu
Hivi unajua kuna wanawake ambao wana maelimu yao digrii zote na wanajitegemea kila kitu lakini wakiwa raped kwa mfano hawahadithii na wanakuwa wanakuwa dhaifu kwa huyo aliye wa rape?
LD

hivi ikitokea kama wote wamekubaliana kufanya wakashitaki wapi?
Mwalimu... heshima sana kwa kuwa analytical
Mwalimu... heshima sana kwa kuwa analytical
inadumisha penzi? pweeehh..kijana subiri uoe ndio utajua kama ni sahihi au laaahh but jua kwamba haisaidii chochote kwenye kudumisha ndoa.
You can say that again prof!wakikubaliana sasa mashtaka ya kazi gani?
ndoa za siku hizi itabidi watu wawekeeane mikataba tokea mwanzo. Mimi kitu fulani na fulani offlimit