Msaada kuacha tigo

Msaada kuacha tigo

Ndugu zangu suala hili lipo kuna washkaji ambao walikuwa wanautumia mchezo huo kabla mashori hawajaolewa baada ya kuolewa na watu wengine hutoka nje kuwatafuta masela wapige tigo kwani inakuwa vigumu kuitroduce hiyo ishu kwa waume zao believe me i have seen it in more than 3 couples which u may view it as decent couples kama hujapata nafasi ya kujua undani wao that do exist in our universe tusimbeze sana mshkaji wala tusiipoteze maada kwa kuiangalia juu2
Hatari
 
Natumaini mu wazima week end hii,mi naomba mjadili hili swala la mapenzi kinyume cha maumbile(tigo)katika ndoa kwani katika mijadala mingi jambo hili hujadiliwa haswa linapokuwa nje ya ndoa lakini kuna watu walioko kwenye ndoa ambako jambo hili hutokea sana lakini halijadiliwi kwani watu huona kama vile si mahali pake vile!lakini ukweli ni kwamba lipo na wenzetu wazungu hulijadili waziwazi huku baadhi yao wakisema kufurahishwa sana na mchanganyiko wa tigo na ngono mbabadala kwenye ndoa zao na hili eti hudumisha penzi.Ebu wana jamii tulijadili hili kwa wenye maoni zaidi.Mi bado sijaoa hivyo naondoa swala la conflict of interest.
Yaani mimi niwe kwenye ndoa halafu nije hapa kujadili tigolization? ama!!!!! si ujinga huu
 
Hamjambo wana jamvi, nina hili tatizo ni miezi mitatu sasa. Mume wangu anataka tigo, ni mtu wa miraba minne ana kilo 110 ni mwanajeshi. Kuna siku akanitigo kwa nguvu, nililia sana nikashindwa hata kutembea. Sasa imekuwa kila baada ya muda fulan anataka tigo. Mpaka sasa kanifanya mara 3. Nimeenda hospital nikapata matibabu. Sasa ananitisha sana nimejaribu kumweleza kaka yake, kipondo nilichopata hakina mfano. Binafsi sipendi huu mchezo kabisa najua madhara yake. Kuniacha hataki. Naumia sana moyoni. Kuwaambia wazaz naogopa. Nisaidien mkakati wa kujitoa kwake au nikashtakije kwa wazazi. Naamin Jf ni sehem sahihi ya kupata michango ya kujenga.
Ondoka kwake. Kaanze maisha yako
 
Back
Top Bottom