....... sijui nini window 7 ipo kwenye external hard disk ..kwahyo nilikua nai-run kutokea hukounatumia nini ku upgrade...cd..usb??
ok poa ngoja nijaribukwa nini usitafute cd ukaiburn..coz hivi vitu wakati mwingine vinazungua tu..jaribu kutumia cd!!