Msaada ku-unlock Huawei modem e 173

thnx alot, nmefanikiwa kuchakachua ya kwangu... ishu ni kurestore tu bt kiukwel mtu kama sio mtaalamu wa haya mambo inabidi kuwa makini sana.....
 
nikifika hapa nachemka coz inaniambia kuwa firmware compartibility FAIL na backup yake imeishia 99% tatizo ni nn hapo wadau
 


Kwa yoyote anayepata error ya "Cannot connect to server...bye bye Anaweza kudownload Huawei Fasher v1.6 hapa
 

Attachments

  • Screenshot (6).png
    63.2 KB · Views: 186
Hiyo Huawei flasher inagoma kufunguka.Inaandika 'Can connect to server....bye bye'
 
Tatizo ina interface tofauti,hapo kwenye instructions ya jinsi ya kuitumia ndo inakuwa issue mjomba.
 





Shukrani kwa taarifa yako. Mimi unlocked e173 yangu huawei Modem kwa kutumia code kufungua. I got kufungua code kutoka tovuti hii Onlinegsmunlock.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua e173 yako huawei Modem kwa urahisi.
 
Habari za humu ndani wanajamvi...!!! Naomba msaada ni jinsi gani naweza ku unlock huawei E173 airtel modem baada ya kupata flash code na unlock code. Ahsanteni
 
nashukuru naendelea kujaribu hyo QSPT natumia window 8 bado inasumbua kufunguka
 
jamani mi nikifika stage hii huawei flasher yangu inakwama ina stack kabisa yan inaniambia not respond tatizo ni nn help me plz na mm nichakachue modem yangu
 
jamani mi nikifika stage hii huawei flasher yangu inakwama ina stack kabisa yan inaniambia not respond tatizo ni nn help me plz na mm nichakachue modem yanguView attachment 222770
Tumia Core i3-7 labda...au PC yenye RAM kuanzia 4GB
Mm nikitumia kwenye PC ya 2GB RAM inter inside processor ina stuck hivo lkn nikiiweka kwenye core i7 8GB RAM inaenda smoothly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…