Msaada ku-unlock Huawei modem e 173

Mkuu Asante sana sana! nimefata steps zote na zimekubali. Ila ushauri kidogo hapo kwenye kurestore imei hakuna haja ya kuadd new port inabidi utumie ile ile tu
 
Thanks Mjumbe
 
Mbona hiyo attachment ya E153 ina fail wakati ukiwa unadownload?
 
mkuu me naomba unisaidie codes za alcatel modem, specification is X230e 05 245
X230-2LATTE3
imei 867612003912544
 
mkuu me naomba unisaidie codes za alcatel modem, specification is X230e 05 245
X230-2LATTE3
imei 867612003912544

Hiyo ubovu wake tafutaaa Online Alcatel Unlock code calculator uone zote watakuomba hela na kubwa kidogo mm ni just 5000/- nakutumia Unlock code in 2days after confirmation of your order
 
Safi sana mkuu ila inaumiza kichwa process hiyo ila nimefanikiwa part ya mwisho iligoma nilikosea kuselect port sasa niki start ku restore inasema no phone port found nikajua kitu kishakufa ila shukrani sana nilposelect ingine ikatiki.
 
back up inatumia muda gani mana nimeiweka kwa zaid ya dk 30 imekwama ktk 99%. hapo nifanyaje mkuu
 
Nami naomba msaada ni aje naweza kunlock huwaei B260 flybox modem
Axanteni
 
kaka G thanx kwa hii method kwa kweli ni nzuri.., shida yangu ni kwenye huawei flasher..kila nikifungua ile exe inaniambia "can connect to server byebye",sasa inabidi nichomeke modem mbili ikiwemo ya kuunlokiwa na nyingine ili flasher irun au nifanyeje maana kila kitu kimeenda poa shida ni kwenye flasher tu,.,plz help kaka G..
 
hata mimi imenisumbua hapo ila nimekuja pata solution ni to download new version ya hiyo huawei flasher gonga hapa Download huawei flasher 1.6.zip
 
Jaman ambaye anasoftware ya kuaunlock modem ya airtell huawei e 173 anisaidie jamani

Hi sofware chombo si salama kufungua simu yako kwa sababu baadhi ya nyakati makosa huweza kutokea. Hivyo bora unaweza kutumia kufungua code. Ni bora na salama njia ya kufungua simu yako. Kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii Theunlockarena.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua e173 yako huawei Modem.
 
kwa faida ya wengi, hii software QPST pia huweza kutumika ku-unlock cdma devices, nime unlock sprint mobile yangu using it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…