NDUKI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 3,439
- 2,452
Salaam wakuu
nahitaji ku-delete facebook a/c ila hii thread ilishawekwa hapa JF na chrisman jinsi ya ku-delete fb a/c akatupia na link inayokupeleka kwenye page ya "permanently delete account" kwenye facebook then unaingiza password na captcha words kisha unabofya pahala palipo andikwa "Delete My Account" nikafanya hivyo lakini bado inarudi kwenye page hiyohiyo wakuu na nimefanya hilo zoezi tangu saa 10 jioni then saa hizi nime-login facebook account iko active.................well,nikasema ndani ya JF hapashindikani kitu thas why nimerudi kupata suolution.
Nilijaribu kum PM huyo jamaa aliyeleta uzi chrisman tangu mida hiyo mpaka sasa hajajibu chochote nikasema ni-check na ma-xpat wengine mnisaidie wakuu,u r most wlcm.
Thanx In Advance (T.I.A).