Msaada:ku-delete facebook a/c bora nibaki na JF inatosha.

huwezi ku delete facebook .... Ila you can deactivate your account

Hilo ndiyo tatizo la facebook, na kwa kuwa umeaccept terms na conditions zao ujue data zako ni zao na hauna uwezo wa kuzifutilia mbali kabisa, wanakuwa nazo kwenye server zao hata kama wewe hauzihitaji na hautaki mkataba nao tena!!!! Hivi kwa JF inakuwaje, labda Moderator atatujuza, maana wabongo wengi tunaonaga tabu kusoma masharti na vigezo mwanzo mpaka mwisho, tunakubali tu!! teh teh!
 
Last edited by a moderator:

usipotoshe mkuu, kudelete inawezekana sana tu, ila wanai deactivate kwa siku kumi na nne kama hutatumia ndani ya siku hizo ndo wanaifuta mazima
 
Last edited by a moderator:
cc: njiwa usiwe mwepesi kukosoa mkuu

'mkuu si unajua banah watu wengine they are just like a mirror in the dark wapo ku-reflect makosa ya watu as if they have none,sante bwn'
 
Last edited by a moderator:
Hilo ndiyo tatizo la facebook, na kwa kuwa umeaccept terms na conditions zao ujue data zako ni zao na hauna uwezo wa kuzifutilia mbali kabisa, wanakuwa nazo kwenye server zao hata kama wewe hauzihitaji na hautaki mkataba nao tena!!!! Hivi kwa JF inakuwaje, labda Moderator atatujuza, maana wabongo wengi tunaonaga tabu kusoma masharti na vigezo mwanzo mpaka mwisho, tunakubali tu!! teh teh!

'kweli mkuu inaeza kuwa aisee coz sjawahi kutaka kujaribu kuifuta JF na nafkiri sifkirii hata coz huku wengi ni wanajiheshimu mkuu inaeza kuwa nayo huezi kuifuta may be naona na mods wame-kimya kabisa mkuu alaf eti mwisho unacheka heh,aya bwn'
 
Last edited by a moderator:
'ila mkuu WAHEED SUDAY anasema kuwa kui-delete inakuwa baada ya footin dayz bila ya ku-login wanaiondoa kabisa let me deactivate then nitulie hizo footin dayz na siku moja ya ziada kisha nijaribu ku-check ikoje wakuu ila ntawapa tu feedback sio tujue kama itaftika au laa,thank u all'
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom