Msaada: Kosa Dogo linamchafua FB now

ukijiangalia kwenye kioo ukiwa half/full naked inatosha..sio hadi ujipige picha
pole yake asee
 
Jamani mi nishaduscuss sana hicho mnachosema mwenyewe na nimemuuliza imekuwaje akasema he was just do it for funny,ila kikubwa ndo ishakuwa tatizo na ni funzo pia.Ila pia ndo ishakuwa hivyo,tunamsadiaje!

She wasn't dong it for fun..i bet she wanted to please her bf. ujana kazi sana, nahisi huyo alikuwa akipiga na kumtumia boyfriend wake...vijana wengi wanafanya hivyo
 
hebu tupatia account yake huyo mtu tujionee kwanza huo upuuzi wa huyo mdada anaejuta kwa ujinga wake wakujipiga picha tupu!

Tujilidhishe na post yako kweli au lah.
 
Aliyeipata hiyo acc naomba ani-PM tafadhali nami nicheck.
 
hebu tupatia account yake huyo mtu tujionee kwanza huo upuuzi wa huyo mdada anaejuta kwa ujinga wake wakujipiga picha tupu!

Tujilidhishe na post yako kweli au lah.

Vipi umeshaipata hiyo username? Kama unayo tafadhali unipatie nami nicheck live.
 
Inaelekea unataarifa za kutoisha kuhusiana na tukio hili. Mi naomba unifahamishe jinsi huyo aliyeokota simu alivyoweza kulitafuta jina la aliyedondosha hiyo simu na kulipata

Simple. Unajaribu kutuma mpesa kwenye hiyo namba na jina la mhusika linajitokeza....
 

cha haraka mwambie aende kwenye wall yake aandike hivi" kuna mtu amefungua id kwa jina langu na anatumia compyuter kuweka picha zinazoonyesha sura yangu then ukamriport polisi alafu wakupe hiyo ela wamfanyie mtego akiichukua akamatwe. akisema utume kwa simu polisi wana uwezo wa kutrack wanaweza wakakusaidia kama wakiamua.
 
Mtu kapoteza simu then anampigia simu sijui kampigia kwa namba gani,mkuu hii story duh ngoja nipite tu...
 
Kapoteza simu its means laini ipo kwenye simu iliyoibiwa alf akajua majina ya huyo aliomwibia simu akafungua account fb huyo mwizi amewezaje kujua marafiki wa muibiwa simu mpaka amewaadd then na kupost hizo video na picha?

Mapenzi ya kitoto hasara zake ndio hizo. Kosa la kwanza sio kosa ila akirudia ni kosa ndio ajifunze kutokupika picha utupu au video shutting yoyote hata kama unampenda mtu usikubali kumtumia picha za uchi kama anataka kujua ukoje mlalie chali akukague mpaka aridhike



Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
huyo naye c aziripot hizo picha au areport hiyo acc inafungwa...
 
Nashukuru sana kwa msaada Wa wa ma IT wakuu Wa humu ndani!!Kwa wale waliokuwa wanaomba jina la account Inabidi wavunge cause ime shouted down!
I believe now this is family to stay.
 
nashukuru sana kwa msaada wa wa ma it wakuu wa humu ndani!!kwa wale waliokuwa wanaomba jina la account inabidi wavunge cause ime shouted down!
I believe now this is family to stay.

noted!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…