Msaada: Kosa Dogo linamchafua FB now

Msaada: Kosa Dogo linamchafua FB now

Mfalme Daudi

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
110
Reaction score
245
Ni rafiki yangu Wa kike na siku kadhaa zilizopita alipoteza simu yake ambayo ilikuwa Na picha alizojipiga akiwa half naked,Na nyingine ni Full naked.

Kuna mjanja kaiokota akatafuta jina lake akalipata,kaingia Facebook akafungua new account akaipa jina la Huyo binti.

Anachofanya now ana-upload picha moja baada ya nyingine kila siku na amempigia simu huyu binti anamwambia ampe laki 3 ili asitishe zoezi Na kufuta hiyo account..

Binti kachanganyikiwa now sababu hana hela Na nyumbani wakijua ni bonge LA msala na aibu coz mzee ni noma Na ni kiongozi wa dini ukizingatia na huu muda wa Ramadhani.

Nimejaribu kuchati jamaa kupitia account hiyo alipokuwa online asubuh amesema yuko serious Na sasa anaanza na video clip zilizomo!

Naombeni michango ya mawazo tumshauri nini cha kufanya kuhusu hili,Na je kuna uwezekano wa kufunga account au hiyo kwa njia tofauti au kama kuna sheria kumkamata na kumshtaki jamaa coz only kilichopo ni namba yake tu.
 
nilikuwa najiuliza hili swali wa kichwa changu......
ili iweje?
hizi nyingine tunapiga ili tushee na wengine, sasa hizo za sirini watu wanapiga ili iweje? ukweli sielewi

akili mbovu tu za vijana wa dot com. habari za uzima wako dear?
 
hiyo imewahi kutokea cho wakati nasoma
kuna mtu boyfrend wake alimpiga picha za uchi
walipokosana akamwambia ampe milion 3 ili asipeleke ktk media
mdada akawa hana,basi jamaa akapeleka picha katika magazeti ya udaku

huyo bidada aface consequence tu,kama ka upload hizo picha
obvious na video clip ata upload!!!!kumpa laki 3 can not guarantee anything
 
Jamani mi nishaduscuss sana hicho mnachosema mwenyewe na nimemuuliza imekuwaje akasema he was just do it for funny,ila kikubwa ndo ishakuwa tatizo na ni funzo pia.Ila pia ndo ishakuwa hivyo,tunamsadiaje!
 
Yani sijawahI na sitowahi kujipiga pic hizo...huu ni ujinga ..kwan mwili wake haujui...na anajiamini vipi na hiyo simu yake...ana mkataba na wezi nn....pole yake na akomeee
 
Jamani mi nishaduscuss sana hicho mnachosema mwenyewe na nimemuuliza imekuwaje akasema he was just do it for funny,ila kikubwa ndo ishakuwa tatizo na ni funzo pia.Ila pia ndo ishakuwa hivyo,tunamsadiaje!

ni she/he
na kakiingereza hapo mmhhh!!!!!

cha kumsaidia hakuna,au unasuggest tuanze
kumchangia hadi zifike hizo laki 3
 
ww pia hujatulia yani unasema kosa dogo kwa picha zauchi? ili iweje? hajifahamu alivyo? alikuwa anafanya biashara? mpe hongeramaana naona kampata mtu wa marketing mzuri atampromote kwenye mitandao atapatawateja! kizazi kibaya hiki! leo mchana kijana mmoja nimezoeana naye kajaofisini kuomba ushauri akanionyesha picha za nusu uchi za msichana mmoja ambayeni rafiki wa mpenzi wa huyu kijana ana seduce ili jamaa afanye naye mapenzikisa huyo demu wake yupo kwenye mfungo wa ramadhani! hiki ndo kizazi cha sasa!
 
Duh!kwa hiyo ishu now no kuvunga tu jamaa afanye mambo yake?
 
Ni rafiki yangu Wa kike na siku kadhaa zilizopita alipoteza simu yake ambayo ilikuwa Na picha alizojipiga akiwa half naked,Na nyingine ni Full naked.
Kuna mjanja kaiokota akatafuta jina lake akalipata,kaingia Facebook akafungua new account akaipa jina la Huyo binti.
Anachofanya now ana-upload picha moja baada ya nyingine kila siku na amempigia simu huyu binti anamwambia ampe laki 3 ili asitishe zoezi Na kufuta hiyo account..
Binti kachanganyikiwa now sababu hana hela Na nyumbani wakijua ni bonge LA msala na aibu coz mzee ni noma Na ni kiongozi wa dini ukizingatia na huu muda wa Ramadhani.
Nimejaribu kuchati jamaa kupitia account hiyo alipokuwa online asubuh amesema yuko serious Na sasa anaanza na video clip zilizomo!

Naombeni michango ya mawazo tumshauri nini cha kufanya kuhusu hili,Na je kuna uwezekano wa kufunga account au hiyo kwa njia tofauti au kama kuna sheria kumkamata na kumshtaki jamaa coz only kilichopo ni namba yake tu.

Acha atie adabu ------- kabisa, mwili wake alikuwa haujui vizuri hadi ajipige hizo picha!?? ataipata fresh na hivi Rungu liko mikononi mwa kichaa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom