Msaada kny Blacberry Bold 9700

kussy

JF-Expert Member
Jun 15, 2010
399
117
Nilijaribu kudownload CNN icon but ikashindikana, sasa kila nikifungua browser inayokuja kwanza ni ile error page ya CNN nimejaribu kuitoa Imenishinda! Msaada please
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
74,101
75,024
Nilijaribu kudownload CNN icon but ikashindikana, sasa kila nikifungua browser inayokuja kwanza ni ile error page ya CNN nimejaribu kuitoa Imenishinda! Msaada please

Ingia kwenye BB desktop via your computer ui-update software version to the latest.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom