Msaada: Kitunguu Kinatoa unjano na Kudondoka

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Habari wapendwa,
Nalima kitunguu huko Dodoma hekari moja. Kuna mdgo wangu niliemwacha huko anapiga kazi katoka kunipia simu kitunguu kishaanza kwmuweka rangi ya njano hivi na vingine kudondoka kabisa.
Tatizo laweza kuwa nini na suluhisho lake nifanyeje?

Asante.
 
watalaam wapo bize subir kidogo

Kina umri gani toka umeotesha?
Umewahi tumia dawa za ukungu?
Pattern ya umwagiliaji ikoje?

Kama kuna wakulima wazoefu karibu, mwambie awaite wampe ushauri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom