Msaada kisaikolojia

Msaada kisaikolojia

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,189
Reaction score
29,748
Wanajukwaa niseme tu ukweli.

Mwenzenu hali niliyoifikia ya kimaisha ya kuhusu uchumi,majukumu na mapenzi ni ngumu sana.Yani mambo hovyo hovyo yanaenda. Ni siku 3 Sasa kula nashindwa, kichwa muda wote kinauma na sijui nifanye nini?

Ingawa naona sijaharibikiwa kihiivyo BUT nauona umuhimu wa kupata msaada wa kisaikolojia.

Changamoto inakuja napataje huo msaada, Yani nani atanisaidia? Me ni client ninayeona ninahitaji msaada wa ushauri. Nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda baharini tembea ufukweni au kimbia pekee yko kwa muda mrefu km utajisikia kuongea ongea hta pekee yko au km utajisikia kupiga kelele piga kelele usione aibu halafu rudi nyumbani ulale ukiamka utakuwa umepata mawazo mapya ufanye nn ili utoke kwa hali hyo uliokuwa nayo na kuendelea na maisha yko. Bahari ni dawa ila nyie ngoz nyeusi hamuwez kujua.
 
Pole sana,yakubali mabadiliko uliyonayo kwasasa yapokee ivyoivyo yataisha kama ukitatua mojamoja usihofie kupoteza kitu au mtu nikawaida katika maisha
 
Tamuuuuuu,

Suala la kwanza na kukupongeza ni wewe kutambua kuwa una tatizo. Matatizo ya nature hii mara nyingi wahusika kidogo kunakuwa na upofu wa kuona na kukubali unatatizo.

Suala la kiuchumi, ni changamoto ila usikubali likutawale. Kumbuka na ugonjwa/virusi hivi vya Corona, vinabadili mfumo mzima wa maisha na kuathiri kila nyanja haswa uchumi na hii ni karibu kwa kila mtu. Ninatambua si rahisi, ila nakusihi - jaribu. Ujikite kufikiria kwenye suluhu, badala ya matatizo.

Suala lingine, jaribu kuacha kutathmini tatizo uelekeze mawazo yako kwenye vitu na watu ambao hukupa faraja kwa kirahisi. Hapa jamvini ni mahala sahihi, ila inasaidia kumtafuta mtu anaekuelewa vema na mwenye kukutakia mema akiwa pia na uwezo mpana wa kueleza tatizo lako hata kama kwa mawazo.

Nakuombea kila la kheri, nakusihi tena. Usikate tamaa.

Wanajukwaa niseme tu ukweli.

Mwenzenu hali niliyoifikia ya kimaisha ya kuhusu uchumi,majukumu na mapenzi ni ngumu sana.Yani mambo hovyo hovyo yanaenda. Ni siku 3 Sasa kula nashindwa, kichwa muda wote kinauma na sijui nifanye nini?

Ingawa naona sijaharibikiwa kihiivyo BUT nauona umuhimu wa kupata msaada wa kisaikolojia.

Changamoto inakuja napataje huo msaada, Yani nani atanisaidia? Me ni client ninayeona ninahitaji msaada wa ushauri. Nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajukwaa niseme tu ukweli.

Mwenzenu hali niliyoifikia ya kimaisha ya kuhusu uchumi,majukumu na mapenzi ni ngumu sana.Yani mambo hovyo hovyo yanaenda. Ni siku 3 Sasa kula nashindwa, kichwa muda wote kinauma na sijui nifanye nini?

Ingawa naona sijaharibikiwa kihiivyo BUT nauona umuhimu wa kupata msaada wa kisaikolojia.

Changamoto inakuja napataje huo msaada, Yani nani atanisaidia? Me ni client ninayeona ninahitaji msaada wa ushauri. Nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana mkuu tamuuuuu

Matatizo na changamoto ni sehemu ya maisha ya almost kila binadamu,kuna ile hali unajikuta kila jambo kwenye maisha yako baya...kinachotokea hapo ni kuwa stressed na sometimes unajikuta kama uko na upweke

Binafsi nimeshapitia some difficulties katika maisha yangu pia,jambo moja la msingi ambalo nimeliunda kwenye ubongo ambalo ni kama kauli mbiu yangu ni kwamba "The first and the last step of overcoming stress/problem is having a positive mind...."

Naamini umeshakumbana na mengi mazito labda zaidi ya haya ya sasa na ukapita....amini/na mimi naamini hata hili litapita

Kila kitu kinaanzia kwenye mindset,have faith....ni mapema mno kukata tamaa,pambana
 
daaaah! feeling so sad,pole sana mkuu... never give up,try ur best soon utakuw vzr...
 
  • Thanks
Reactions: amu

Similar Discussions

Back
Top Bottom