Msaada; kipi ni bora kati ya afya na uhandisi

Msaada; kipi ni bora kati ya afya na uhandisi

Ajira kwa sasa si za uhakika kwa afya kama watu wanavyodhani, kuna intake kama mbili hivi kitaa hazijaajiliwa. Think about three/four years to come!!! Chagua kitu cha kusoma kwa kuangalia uwezekano wa kujiajili na wala si kuajiliwa
Sure
Mimi ningeshauri asome General Agriculture,ni easy kujiajiri uwapo na maarifa maana hautafanya kilimo na ufugaji locally
 
Nenda electrical engineering, ukimaliza sio lazima usubiri ajira unatafuta mafundi Umeme wa mitaani unajoin nao lakini uwe na nidhamu ili ujue vitu vingi.
 
Back
Top Bottom