Msaada kioo cha samsung S5 wakuu

puttin

JF-Expert Member
May 17, 2015
226
366
Habarini wakuu nina simu yangu Samsung S5 nilinunua November 2016 juzi ilidondoka kioo kikavuja kikawa hakionyeshi ila touch inafanya kazi nikipigiwa napokea fresh ila kioo ni giza mwenye Idea pls ya bei ya kioo au niiuze kama bei kubwa ya kioo
 
inategemea na bei ulionunulia, kama ni hizi za laki 2 au 3 achana nayo uza tu motherboard ukatafute simu nyengine. maana kioo cha s5 kinaanzia laki 2 kupanda
 
Nilinunua mpya 540 ilikuwa mpya alafu ina 7 months
 
Aisee wewe tuko chungu kimoja

Yangu inafanya kazi but imepasuka kwa juu karibu na kamera ya mbele
Nimepita madukani Naambiwa laki 2.8 eti huwa inauzwa complete jumla na nini sijui hata sikukumbuka kuuliza tena baada ya hapo!
 
Kioo ni 180,000 Mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom