Msaada kioo cha galaxy ace3 tafadhali.!

Msaada kioo cha galaxy ace3 tafadhali.!

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,308
Reaction score
38,526
kwa Dar ninaweza kupata duka gani, au wapi lilipo duka la vioo vya smartphone.?

kwa anejua anisaidie. :ranger:
 
kwa Dar ina maana hakuna duka linalouza vioo vya samsung.?
 
Nenda kwa agent wa samsung kwa Tanzania nadhan wapo posta mtaa siujui jina ila physical adress naijua.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Back
Top Bottom