Nitakuuzia kwa TZS 125,000. V7 Max decoder, Itakidhi mahitaji yako.Nahitaji king'amuzi bora kabisa ambacho sihitaji kulipia chochote kwa mwezi na nitaweza kupata chaneli kadhaa za bure zikiwemo chaneli zetu za kibongo
Si hitaji makuu sana ila naamini visimbuzi hivi vinatofautiana ubota na upatikanaji wa chaneli za FTA
Naomba share na mimi ili nichukue nipate habari
vipi hiyo V7 kama una dish la ft8 unaweza kupata channel kama ngapi kwa uelekeo wa East mkuu Mwl RCTNitakuuzia kwa TZS 125,000. V7 Max decoder, Itakidhi mahitaji yako.
- Kama upo mkoani Utatumiwa kwa EMS
- Kama upo Dar utapata maelekezo wapi uje uchukue.
- Karibu
Pia Post No.2 hapa:
Channel ni nyingi, kutegemea idadi ya LNBf utakazo fungavipi hiyo V7 kama una dish la ft8 unaweza kupata channel kama ngapi kwa uelekeo wa East mkuu Mwl RCT
Endelea kukazia maarifa kupitia hizi thread.Nashukuru wadau sasa ninapo pa kuanzia maana nipo mkoani huku na mwezi huu mwishoni nakuja Dar mara moja
Hivyo nataka nikija nichukue kabisa
Mkuu nimepitia uzi uliotoa link nimepata darasa la kutoshaNitakuuzia kwa TZS 125,000. V7 Max decoder, Itakidhi mahitaji yako.
- Kama upo mkoani Utatumiwa kwa EMS
- Kama upo Dar utapata maelekezo wapi uje uchukue.
- Karibu
Pia Post No.2 hapa:
Nauliza tu katika hivyo visimbuzi vya FTA inawezekana kupata HBO movies na Sony ile ya movie
Mimi natafuta decoder(FTA) inayoweza kufungua channels zote za canalsat!.....ipo?gharama 130,000 hadi 300,000 mahala msimbazi kariakoo karibu na jengo la simba. chanell local za kale kama ITV, Chanell 10, star tv etc pamoja na za nje utakazozitaka wewe
kanunue tu decoder ya kawaida ya terrestrial yenye mpeg 4 na bisskey, bonus inaweza ikawa na autoroll na power vu, tegemea na mfuko wako.
nunua dekoda yaoMimi natafuta decoder(FTA) inayoweza kufungua channels zote za canalsat!.....ipo?
Mkuu mfano Mtu yuko Mkoani atahitaji kuwa nini na nini ili aweze pata local channel baada ya kununua hiko unachouza mkuu na hizo installation naweza fanya mwenyewe au?.Nitakuuzia kwa TZS 125,000. V7 Max decoder, Itakidhi mahitaji yako.
- Kama upo mkoani Utatumiwa kwa EMS
- Kama upo Dar utapata maelekezo wapi uje uchukue.
- Karibu
Pia Post No.2 hapa:
- FTA decoder - Chagua mojawapo hapa: https://bit.ly/33BLLakMkuu mfano Mtu yuko Mkoani atahitaji kuwa nini na nini ili aweze pata local channel
Fundi dish atakufanyia hii kazi ya installation.installation naweza fanya mwenyewe