Msaada king'amuzi cha Azam

Msaada king'amuzi cha Azam

albab

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
2,000
Reaction score
3,395
Nikiwa home muda huu niijulie dunia hali ghafla nakuta madudu AZAM TV.

WASAFI TV inaonesha na ndo chanel ya kwanza kufunguka na sijailipia.

Nikazima na kuwasha sasa naona inajibonyeza bila mpangilio tena bila hata matumizi ya rimoti.

Shida nini wajuvi nisaidieni
 
Sema kuna maswali ni ya kupiga huduma kwa wateja
 
Nikiwa home muda huu niijulie dunia hali ghafla nakuta madudu AZAM TV.

WASAFI TV inaonesha na ndo chanel ya kwanza kufunguka na sijailipia.

Nikazima na kuwasha sasa naona inajibonyeza bila mpangilio tena bila hata matumizi ya rimoti.

Shida nini wajuvi nisaidieni
Remote hiyo kaka just turn it away mimi continuously mutes the set so nabonyeza volume up halafu naelekea mwingine au nachomoa Betty ya remote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom