Msaada king'amuzi cha Azam

Msaada king'amuzi cha Azam

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
7,207
Reaction score
15,880
Kifurushi changu kimeisha sasa nataka nitumie flash kwenye king'amuzi but movie hazichezi.sasa nataka kujua hadi niwe na kifurushi ndo niweze pia kutumia USB kwenye hiki king'amuzi au kuna sehem nakosea?maana files naziona mtihani kuzi-play.msaada wakuu
 
Labda format ya hizo movie hazichezi kwny hicho king'amuzi
 
Hakuna kisimbuzi au kin'gamuzi hovyo na feki duniani kama cha azamu
Nishapigwa nini mkuu,maana nia yangu kukinunua hasa ilikuwa ni ili niwe naangalia movie HD ambazo zipo kwenge USB.maana hapa movie naziona ila kuplay ndo hazitaki
 
Kifurushi changu kimeisha sasa nataka nitumie flash kwenye king'amuzi but movie hazichezi.sasa nataka kujua hadi niwe na kifurushi ndo niweze pia kutumia USB kwenye hiki king'amuzi au kuna sehem nakosea?maana files naziona mtihani kuzi-play.msaada wakuu
Hapo tatizo itakuwa ni format ya video zako. Format ambayo haisumbui kuplay katika king'amuzi cha azam ni mp4 tu.
 
Mchina hana jema baba...kwan tv yako haina sehem ya flash?
Pot ya flash kwenye Tv imekufa mkuu,dogo aling'ang'ana kutoa flash akavunja akatoa pamoja na kile kishikizo chake sasa uvivu kubebana na tv kupelekea mafundi.ila hapa itabidi niipeleke tu
 
Bora urekebishe tu mkuu
 
Hapo tatizo itakuwa ni format ya video zako. Format ambayo haisumbui kuplay katika king'amuzi cha azam ni mp4 tu.
Samahani mkuu naomba nieleweshe,nikusema HD hakitokaa kizicheze si ndivyo?
 
Movie ni HD mkuu na chenyewe kimejinasibu kwamba kinaziweza.hapa juu kimeandikwa USB-HD labda kama urembo?
Movie zinaweza kuwa HD lakini zikawa kwenye format mbalimbali kama vile Mp4 na kadhalika!....Kuna format nyingi haziplay kwenye ving'amuzi!....Chunguza ving'amuzi vinacheza format gani za video then ubadilishe hizo video kwenda kwenye format husika!
 
Hili ndio jibu sahihi
 
Mimi mbona flashi inaplay video vizuri pamoja na nyimbo???! Nb: zingatia ushauri wa mdau hapo juu
 
Back
Top Bottom