Msaada: kila asubuhi uume wangu unasimama hadi naumia

sasa unaendeleaje baada ya ushauri bwana Gogle ....?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kabanga Hali bado ni tete, yaani kila siku ikifika usiku huwa nafikiria asubui maumivi yatakuwaje
 
Wadau:
Kila siku asubuhi nikiamka mgegedo wangu huwa unasimama hadi unakuwa mgumu sana halafu unauma sana, Hali hiyo hudumu kwa takribani dakika arobaini hivi halafu inaondoka, dawa Yake ni nini,
Nisaidieni wakuu

1.wowa
2.avoid kibofu kisijae mkojo maana hii upelekee dushelele kusimama
 
Wadau:
Kila siku asubuhi nikiamka mgegedo wangu huwa unasimama hadi unakuwa mgumu sana halafu unauma sana, Hali hiyo hudumu kwa takribani dakika arobaini hivi halafu inaondoka, dawa Yake ni nini,
Nisaidieni wakuu

mi mwenyewe nina tatizo kama lako
 
Ukiamka nenda kajisaidie/kakojoe.au shuka kitandani tembea kidogo halafu rudi tena kitandani

Huwa nafanyaga hivyo Lkn dushe bado liko pale pale , sometimes linafanyaga Kama mshale wa sekunde wa saa
 
Back
Top Bottom