Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 315
- 413
- Thread starter
- #21
vip kuhusu AliExpress bidhaa zao zikojeHawa jamaa mara nyingi wanauza Mitumba ya Simu kwa Kampuni Kubwa kama IPhone, Samsung, Oppo, Huawei, Xiaomi, Vivo, Meizu, HTC,LG, NOKIA, Motorola. Kidogo Xiaomi ndo wameanza kuuza simu mpya.
Ukiagiza simu huchukua siku 28-hadi 45 kwa wale tulioko mikoani. Ila kwa kweli simu zao ni za Ukweli.
Kama wadau walivyokushauri usinunue simu usiyoifahamu, angalia Makampuni maarufu kama nilokutajia hapo juu. Kwa mfano kama umetulia kuna OPPO yenye RAM 6GB na Rom 128 GB inauzwa kwa TZS. 400,000/= almost ni mpya japo ni mtumba.
Jaribu pia uangalie Reviews za watu walokwisha nunua bidhaa kwa huyo seller.
Kwa ufupi hawa jamaa ni waaminifu sana. Lakini unahitajika moyo wa uvumilivu sana kusubiria mzigo wako. Jambo jingine kama uko mbali na Makao makuu ya Mkoa, hii ni changamoto, mzigo unaishia mkoani tofauti na Aliexpress ambao wao wanakuletea hadi Posta ya karibu au Wilayani.
View attachment 1741825