Nasumbuliwa na tatizo za uoni hafifu sugu

varency

Member
Mar 24, 2022
15
20
habari zenu wakuu natumaini wote wazima humu ndani.

ndugu yenu nimekuja kuomba msaada wa tiba au ushauli kwa yeyote mwenye uelewa wa tatizo langu maana najua humu kuna watalaamu wa mambo ya afya.

Mimi nasumbuliwa na tatizo la macho lililo nianza tangu mwaka 2017 la kupungukiwa na uwezo wa kuona macho yangu hayana uwezo wakuona mbali wala karibu hadi kitu nikisogeze kabisa kwenye macho ndo naona mtu akiwa hatua 10 mbele yangu nashindwa kumtambua kabisa hata kama na mjua hadi anikaribie ndo na mtambua siwezi kusoma maandishi wala kuangalia television au kutumia simu hadi nivisogelee kabisa yani ndo naona

nimesha zunguka hospitalia kubwa za macho daresalaam hii kama 10 hivi bila mafanikio nikienda napewa vidoge vya vitamini naambiwa nivitumie lakini kiukweli havini saidii chochote natumia vidonge vya vitamini karibia mwaka wa 3 sasa lakini sioni matumaini yoyote tafadhali wakuu kama kuna mtu kashawai kusumbuliwa na tatizo kama hili au kashawai kuwa na ndugu au rafiki aliye kuwa natatizo kama hili arafu sasa hivi amepona naomba anisaidie na mimi niweze kupona jamani

20220329_174634.jpg
 
Daah mi nna tatizo kama lako mkuu mtu akikaa hatua kumi simwezi kumuona usoni labda awe nilishamuona kablA sema sijawah kwenda hosptali naishi tu hvhv
 
habari zenu wakuu natumaini wote wazima humu ndani.

ndugu yenu nimekuja kuomba msaada wa tiba au ushauli kwa yeyote mwenye uelewa wa tatizo langu maana najua humu kuna watalaamu wa mambo ya afya.

Mimi nasumbuliwa na tatizo la macho lililo nianza tangu mwaka 2017 la kupungukiwa na uwezo wa kuona macho yangu hayana uwezo wakuona mbali wala karibu hadi kitu nikisogeze kabisa kwenye macho ndo naona mtu akiwa hatua 10 mbele yangu nashindwa kumtambua kabisa hata kama na mjua hadi anikaribie ndo na mtambua siwezi kusoma maandishi wala kuangalia television au kutumia simu hadi nivisogelee kabisa yani ndo naona

nimesha zunguka hospitalia kubwa za macho daresalaam hii kama 10 hivi bila mafanikio nikienda napewa vidoge vya vitamini naambiwa nivitumie lakini kiukweli havini saidii chochote natumia vidonge vya vitamini karibia mwaka wa 3 sasa lakini sioni matumaini yoyote tafadhali wakuu kama kuna mtu kashawai kusumbuliwa na tatizo kama hili au kashawai kuwa na ndugu au rafiki aliye kuwa natatizo kama hili arafu sasa hivi amepona naomba anisaidie na mimi niweze kupona jamani

View attachment 2168444
Pole sana mkuu.
Kabla ya 2017 haukuwa na tatizo lolote la macho (labda macho kuwasha)???
Umri wako??

Kuna ugonjwa unaitwa keratoconus, pengine ndo unaokusumbua.
Kuna hospitali inaitwa Dr. Agarwal's, ipo karibu na Morocco kama sikosei. Kuna madaktari wa macho ambao ni reliable
 
Umri wangu miaka 24 mkuu
 
Hapo zamani nilikuwa na sumbuliwa na maumivu makali sana ya kichwa
 
Mm nina matatizo ya macho toka utoto ni ya kurithi japo mm naona vizuri tu ila nlipofika 40yrs nimeanza kupoteza vission mbali sioni vizuri so nikabadilishiwa miwani nikapewa progressive wanauza laki nne na nusu
 
Back
Top Bottom