Msaada: Kibali cha kumiliki silaha

Kwa nini unataka kumiliki silahaa!!??
Ziko sababu Nyingi za kunifanya nimiliki silaha
Sababu kuu
1. Kujilinda binafasi na Mali ninazomiliki na kuilinda jamii inayonizunguka kwa eneo nnaloishi
2. Biashara nnayofanya, inashabiana na banking na Money point.
3. Huwa nnasafiri sana
 
mkuu bia ukilipia tu unapewa haraka,ila silaha hapana kwakweli lazima watu wajiridhishe.

angalia huko marekani mtoto wa miama 17 anakwenda dukani anauziwa silaha anakwenda kulipua watoto wa miaka 6 kisa walimzomea,huu ni ufala wala sio usasa.
Ukiwa na mkono mrefu haya mambo ya kujiridhisha wala hayapo. Ila ukijifanya kufuata utaratibu utasubirishwa sana.
 
Sheria
S
Bora Sheria ziwe na ukilitimba hivyo hivyo maana idadi ya wagonjwa wa akili imekuwa kubwa tz.
 
Sure lakin, Concern yangu ni kuwa, Angalau Kuwe na Ombi la kibali, alafu likipita ndo upewe ukanunue Silaha. Sio kulipia usichokuwa na uwakika kama utakipata
yah hili tatizo.
 
Ukiwa na mkono mrefu haya mambo ya kujiridhisha wala hayapo. Ila ukijifanya kufuata utaratibu utasubirishwa sana.
wenye mikono mirefu wengi taarifa zao ziko peupe.
 
Ziko sababu Nyingi za kunifanya nimiliki silaha
Sababu kuu
1. Kujilinda binafasi na Mali ninazomiliki na kuilinda jamii inayonizunguka kwa eneo nnaloishi
2. Biashara nnayofanya, inashabiana na banking na Money point.
3. Huwa nnasafiri sana
Ni kwa Hayo tu
 
Kwamba ukaamua kuachana nayo!!
 
Sasa chifu,,hiyo avatar yako mbona inaogopesha tena,, wewe ni mmasai sio!! Na Unataka bunduki ukailipue serikali huko ngorongoro eti 😁😁😁
 
Mwambie atumie pesa,kuna watu wanatoa vibali ndani ya wiki 2 au mwezi
 
...Miaka 14? Kuna Silaha Tena Hapo? SI Milioni zake kama Mbili hivi Zimeishayeyuka!
 
Niliporudi kutoka masomoni Cheo kikapanda mara dufu ofisini,so nilitumia short cut tu kuipata fasta japo mlolongo wa kuanzia Serikali ya Mtaa,Kata nk niliufanya lakini ka-Cheo kapya kalisaidia mchakato kwenda haraka tofauti na awali
Nipate ushauri kwako, kama nilihitaji, niwe na badget ya kiasi Gani, Yani kununua, ku push kwa wazee ilimradi nipate kwa haraka? Vipengele Gani huwa watavihitaji? Maswali Gani wataniuliza?
 
Kama ndo hivyo hapo kuna mambo hayapo sawa... sheria ibadilishwe!

Wangeweza kusema ukachague silaha husika upewe details zake dukani kisha upeleke tu sampo kwenye ofisi zao wakuandalie kibali ndipo kisha ukanunue silaha husika
Je usipoinunua na kibali umeishapata na ukampa mtu kibali. Lazima utaratibu uwe mgumu kupata. Ukilaisisha tutauana kama Marekani. Mtu anakujuta na demu wake anakuwasha ucku ukiwa club. Bora hivyo. Mie mwenyewe mwaka wa 2 sasa danadana napigwa ila nina imani mwaka huu naweza kumaliza utaratibu
 
Sure lakin, Concern yangu ni kuwa, Angalau Kuwe na Ombi la kibali, alafu likipita ndo upewe ukanunue Silaha. Sio kulipia usichokuwa na uwakika kama utakipata
Kweli ukifa kwa ajali au kawaida hela yako inakuwaje maake kwa xax silaha PISTOL ya bei rahisi ni mil 3,500,000/- au inakuwa sawa na mtu akifa na hela iko kwenye Line cm ya voda au tigo INALIWA NA MTANDAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…