Msaada: Kibali cha kumiliki silaha

Msaada: Kibali cha kumiliki silaha

Uko timamu kichwani lkn
Usije ukawa kama yule wambu wa sinza,kutwa kutishatisha watu na silaha akiwa bar...
Sema sahv kanyanganywa kawa mpoleee

Ova
 
Kuna rafiki yangu alilipia silaha kwenye moja ya maduka ya serikali almaarufu mizinga leo ni miaka14 kuichukua imeshakua hadithi za Bunuas, kupata kibali ni changamoto ndugu vikao vya kamati ya ulinzi vina mlolongo sana, sheria zetu za umiliki wa silaha bado ni ya kikoloni
Mkono wake mfupi huyo
 
Sure lakin, Concern yangu ni kuwa, Angalau Kuwe na Ombi la kibali, alafu likipita ndo upewe ukanunue Silaha. Sio kulipia usichokuwa na uwakika kama utakipata
Ingefaa unaambatanisha na profoma invoice na sio risiti ya manunuzi.
Siku nikihitsji kumiliki najua mda mfupi nitaipewa.
 
Kweli ukifa kwa ajali au kawaida hela yako inakuwaje maake kwa xax silaha PISTOL ya bei rahisi ni mil 3,500,000/- au inakuwa sawa na mtu akifa na hela iko kwenye Line cm ya voda au tigo INALIWA NA MTANDAO
Kumbuka hiyo silaha ni kama umeazimizwa tu hata kama umeinunua pesa mrefu ukiitumia vibaya au kizembe serikali inaichukua tena bila fidia,anyway kumiliki silaha sio kitu kizuri sana kama hauna umuhimu sana,sio km watoto wa Rchuga akipata pesa kidogo anakimbilia kumiliki pistol unakuta yupo anacheza pool huku kainua shirt/t-shirt ili masela waione,huo ni ushamba,ukimiliki silaha atakiwi mtu baki kujua hata mwanao hafai kujua labda km anajitambua

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Ikitokea nimekufa je hiyo silaha inaruhusiwa kutumiwa na ndugu zangu kama watoto kaka dada baba mama au mke?
 
Sheria

S

Bora Sheria ziwe na ukilitimba hivyo hivyo maana idadi ya wagonjwa wa akili imekuwa kubwa tz.
Hao wagonjwa wa akili wenye pesa hupewa haraka.
Mimi kuipata haiwei kuvuta mda lkn nasubiria hasira zipungue unajua moto wa ujana bado haujaisha..ndipo niimiliki.
Nilianza mchakato nikasitisha upesi.
 
Nyie ndio mnatupa shida mitaa ya Morogoro kuna mwamba alitutishia bastola halafu akifyetua juu

Tulikimbia kama swala

huku kwetu jirani yangu kila siku anatongoza mke wa jamaa yetu sasa wakati anatongoza kumbe mme mtu yupo nyuma yake anamwangalia mguu wa kuku kiunoni basi alivyomuona tu alitoka mbio hii siku ya tatu hajarudi
 
aise sheria zetu ,za umiliki wa siraha za ajabu kweli,mlolongo na longolongo kibao ,utadhani wanajihami utateka ikulu,kumbe mtu anatafuta kwa kuimarisha ulinzi wake binafsi.
 
huku kwetu jirani yangu kila siku anatongoza mke wa jamaa yetu sasa wakati anatongoza kumbe mme mtu yupo nyuma yake anamwangalia mguu wa kuku kiunoni basi alivyomuona tu alitoka mbio hii siku ya tatu hajarudi
Kifo we kisikie tu kwa mwenzio
 
Back
Top Bottom