Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Enyi Wana JF - MMU nisaidieni fumbo hili;
...nimekwenda ugenini na familia. Ghafla, kapita mbwa-koko (stray dog) akakwapua kiatu cha mwanangu akakimbia nacho (kusikojulikana.) Haijapita muda, akaja kukwapua na changu, akakimbia nacho.
Je? ...nianzie wapi na kuishia wapi?
Chezeni peku peku tu! Ila ushauri muwe na umakini kwa kuangalia stepu na style zisifanane tena.