Sisi tuna kuwa concentrated sana in law hyo scenario uliyoweka ni maan ya kubaka kidunia zaidNi kweli Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume. Masheria haya mengi tunapewa/tunarithi kutoka ulaya na marekani. Ujerumani sasa wamepitisha sheria kwamba Mwanamke au Mwanaume katika ndoa halali akisema hataki sex anamaanisha hivyo na ukilazimisha kusex naye unakuwa umembaka. Kwa maana hii ndogo. Kubaka ni kulazimisha jambo bila hiyari ya upande wa pili. Si umesikia mtu anaweza akabaka demokrasia nk. SO mwanamke akimlazimisha mwanaume kufanya naye mapenzi bila hiyari yake ya huyo mwanaume (Consent) AMEBAKA na anaweza kwenda jela miaka 30 bila shida.
mwanaume hawezi kubakwa analawitiwa na mwanaume mwenzie na sio na mwanamke. s.154 penal code wanaita unnatural offence (kuffira) which also is the same if you have carnal knowledge of a woman against his order of nature. however, kuna sheria imetungwa mwaka jana 2016 inayombana mwanamke mtu mzima anayeolewa na mwanafunzi wa secondary, anafungwa miaka 30 kama vile tu mwanaume anayeoa mwanafunzi wa secondary au msingi. hata hivyo, hiyo sio pure rape na wala sio statutory rape.Hii sheria umesoma WAP? Ya mwanaume anaweza kulawatiwa
unfortunately, hakuna kifungu cha 130 katika penal code. kasome case law, kuna watu walishapigwa chini kwa quotation kama yakwako. kuna 130(1).......na kadhalika.Huyo mdogo wako mwambie asome vzuri rape section 130 ya penal code ,,anajaribu kupotosha umma
131A.-(1) Where the offence of rape is committed by one or moreTusipotoshe watu wewe na wenzako pitieni gang rape, hii ndiyo circumstance pekee under Penal Code ambapo mwanaume anaweza kubakwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Najitolea kuwa case study,aje mdada anibake alafu tuangalie vipengele vya sheria vitahukumuje
Kwenye sheria za kimataifa yaani international criminal law mwaname anaweza kushitakiwa kwa kubaka. Soma kesi ya Nyamasuhuko kesi ya ICTRMwanaume hawezi kubakwa na mwanamke ,rape is a male offence,pia ili kuprove kwamba mwanamke hawezi kubaka angalia ingredients za kosa la rape that is actus reus na mens rea,mens rea ni consent na actus reus ni penetration however slight,mwanamke huwa hawezi kuingilia yeye ndie huingiliwa therefore mwanamke hawezi kubaka.
yaani wewe umeweka avatar ya aina hiyo halafu ni dume, we shoga nini? nyie wajina mnachafua hii dunia ipo siku mtapigwa risasi wote.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mh!!!!Najitolea kuwa case study,aje mdada anibake alafu tuangalie vipengele vya sheria vitahukumuje
Kubakwa unapenda, kufa unaogopa!! Jikaze nenda girls boardingKifo hicho,we huntakii mema
Namaanisha usome 30 yote ,,sasa kama walipigwa chin s waliingia kichwa kichwa? Yaan at least ungesema kuna presumption flan ,,,unfortunately, hakuna kifungu cha 130 katika penal code. kasome case law, kuna watu walishapigwa chini kwa quotation kama yakwako. kuna 130(1).......na kadhalika.
Katika kesi zangu sipigwag chin kijinga kama unavyodhan ww ,,hii n jf not seriously ndo kesi,,weng humu wana bwabwaja bwabwaja ,,lete kesi ya namna hii uone,,ucheze kesi ikiwa mezan weka mbali na watotounfortunately, hakuna kifungu cha 130 katika penal code. kasome case law, kuna watu walishapigwa chini kwa quotation kama yakwako. kuna 130(1).......na kadhalika.
Correct boy ,,tu nataka kama HV cyo MTU hana legal argument yeye anapiga tuuu domo131A.-(1) Where the offence of rape is committed by one or more
persons in a group of persons, each person in the group committing or
abetting the commission of the offence is deemed to have committed gang
rape.
hapa, mwanamke kama ame abet au ku aid, na yeye atahesabika kuwa amebaka. lakini hii ni kubaka constructive sio direct. ni sawa tu na kubaka kwa umri/statutory rape. vimwalimu vyenu ndio huwa vinawapa vimaswali kama hivyo na vyenyewe vinajiona vina akili weee? walikuwa wananikera sana enzi zangu.
Correct boy ,,tu nataka kama HV cyo MTU hana legal argument yeye anapiga tuuu domo
Huyo Dogo bado hajaijua vizur Sheria mwambie asome vizur na Kama kitu hakijui akae kimya asipende kuongea uongo kwa vitu asivyovijua,Naam!
Salaam wakuu,
Kuna dogo mmoja, ni mdogo wangu, ameanza sheria tu mwaka wa kwanza yupo. Sasa karudi home mara moja, anajiona tayari ni DA (District Attorney)
Ubishi ulikua ni kwamba, JE MWANAMUME ANAWEZA KUPELEKA KESI MAHAKAMANI KUWA KABAKWA NA MWANAMKE AKASHINDA? Yeye anasema ndiyo. Mimi ninasema hapana.
Hoja anazotumia kujisapoti ni kuwa, iwe mwanamke au mwanamke akimfanyisha mwenzie ngono bila ridhaa yake, sheria ni ile ile inatumika kwa jinsia zote kutoa adhabu. Kwaiyo kama mwanamke kamforce mwanamume kufanya mapenzi pasipo na ridhaa ya mwanaume huyo na uthibitisho ukawepo, basi mwanamke huyo atahukumiwa kwa kubaka.
Kwa upande wangu nilimwambia kuwa hakuna mwanamume ataweza kushinda kesi ya kubakwa kutokana na ukweli kuwa, tendo lile ni la kisaikolojia, na kama mwanamume haupo willing kulifanya, basi ni vigum kwa jogoo kuwika kwa ajili ya kufanya ivyo. Kwaiyo, hadi jogoo kuwika na kufanya hilo tendo, maana yake ulikua psychologically willing kufanya hivyo. Kwahiyo mwanamume huyo hakubakwa bali alifanya akiwa willing hayo mapenzi.
*Je, wanasheria mlioko humu, kuna kesi ya mwanamume kubakwa na mwanamume huyo akashinda hiyo kesi?*