gasto genaro
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 780
- 554
Naam!
Salaam wakuu,
Kuna dogo mmoja, ni mdogo wangu, ameanza sheria tu mwaka wa kwanza yupo. Sasa karudi home mara moja, anajiona tayari ni DA (District Attorney)
Ubishi ulikua ni kwamba, JE MWANAMUME ANAWEZA KUPELEKA KESI MAHAKAMANI KUWA KABAKWA NA MWANAMKE AKASHINDA? Yeye anasema ndiyo. Mimi ninasema hapana.
Hoja anazotumia kujisapoti ni kuwa, iwe mwanamke au mwanamke akimfanyisha mwenzie ngono bila ridhaa yake, sheria ni ile ile inatumika kwa jinsia zote kutoa adhabu. Kwaiyo kama mwanamke kamforce mwanamume kufanya mapenzi pasipo na ridhaa ya mwanaume huyo na uthibitisho ukawepo, basi mwanamke huyo atahukumiwa kwa kubaka.
Kwa upande wangu nilimwambia kuwa hakuna mwanamume ataweza kushinda kesi ya kubakwa kutokana na ukweli kuwa, tendo lile ni la kisaikolojia, na kama mwanamume haupo willing kulifanya, basi ni vigum kwa jogoo kuwika kwa ajili ya kufanya ivyo. Kwaiyo, hadi jogoo kuwika na kufanya hilo tendo, maana yake ulikua psychologically willing kufanya hivyo. Kwahiyo mwanamume huyo hakubakwa bali alifanya akiwa willing hayo mapenzi.
*Je, wanasheria mlioko humu, kuna kesi ya mwanamume kubakwa na mwanamume huyo akashinda hiyo kesi?*