Msaada katika ujenzi - Wajuzi wa vipimo

The Hidden

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
246
Reaction score
102
Wakuu, naombeni kujuzwa vipimo kwa vitu vifuatavyo:

(1)Upana(kwa kawaida)wa kabati za vyombo milango mitatu.

(2)Upana wa kabati kubwa za nguo(nadhani pia zinakuwa milango mitatu).

(3)Je, madirisha haya ya vioo(tinted ) yanapatikana kwa ukubwa(size) yoyote? au size zake ziko fixed?

Nina kichumba kidogo na ninahitaji hivyo vitu wakuu so, sitaki nivichukue kwa kukurupuka vikakosa nafasi au chumba kikabana sana, pia ninataraji kujenga na ningependa dirisha la sitting room liwe pana iwezekanavyo(6 ft) na liwe la vioo(tinted) sasa hapo sijui kama inawezekana.

Sihitaji nifanye maamuzi ya kukurupuka bila maarifa naombeni mnifumbue macho kwa hayo wataalamu!

Sent from my HUAWEI Y221-U22 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nina deal na madirisha, yapo ya size tofauti kutegemea na ukubwa wa chumba kuanzia ft 4,5,6,7,8
 
Mimi nina deal na madirisha, yapo ya size tofauti kutegemea na ukubwa wa chumba kuanzia ft 4,5,6,7,8
Oh asante mkuu, lakini 8ft inamaanisha linazidi hata urefu wa kitanda! hii inawezekana mkuu?

Sent from my HUAWEI Y221-U22 using JamiiForums mobile app
 
Oh asante mkuu, lakini 8ft inamaanisha linazidi hata urefu wa kitanda! hii inawezekana mkuu?

Sent from my HUAWEI Y221-U22 using JamiiForums mobile app
Nyumba za kisasa na maofisi utakuta dirisha limekula 80-90% ya ukuta hasa sebule.
Keep in mind dirisha kubwa ni gharama zaidi dirisha ya hivyo la aluminium gharama yake sio chini ya lak nane na aluminium ni cheap kuliko mbao
 
Duh ahsante sana mkuu kwa kuniongezea maarifa

Sent from my HUAWEI Y221-U22 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…