Msaada katika hili tafadhari

rajiih

JF-Expert Member
Apr 4, 2019
477
715
Habari wana Jf poleni na Majukumu ya kazi kwa pamoja na ugumu wa January hii naomba kuwasilisha hili suala langu kwenu.

Niko na mpenzi wangu kwa kitambo sasa na Ameonyesha upendo wake kwangu kwa kadri ya awezavyo pia iko hivyo kwangu.

Jambo ambalo linalitatiza ni pindi tukiwa Faragha na mwenza wangu imekua ikisikika harufu ya haja kubwa kiasi kupelekea hisia zangu kukata katikati ya tendo hii si mara ya kwanza kwake. Baada ya uvumilimu kufikia ukomo ilibidi nimuulize kunani lakini amekua akisusa na kuanza kulia kiasi napatwa na Majonzi pengine nmemdhalilisha na kumletea unyanyapaa wa kiwango cha juu.

Mashaka yangu pengine anaingiliwa Kinyume na maumbile nami ananificha nasema hivi kwa maana kuna baadhi ya style hatakii kabisaa na kwa mara kadhaa amekua akisema nanukuu `` Mbona unang'ang'ana hizo style unataka unif*le nini aargh!! m stakii na sijazoea kabisa kama huwezi hivi hivi bhasi.

Wakuu nawasilisha.
 
Ha ha ha ha ha
Pole sana best achana nae huyo kashafumuliwa linda,
Iliwahi nikuta hiyo mchumba wangu kuna siku baada ya faragha akalala ,mm nikaamka kwenda haja ndogo,ile narudi naingia kwenye net nikahisi harufu,nikajua kapumua kwa kijampo,
Nikainuka tena ile pua inakaribia tako ni harufu ya mimavi tu,
Nikalala nikawa najaribu kumtia kidole
La haulaaa dole lilizama hata hajastuka nikajua hii tayari ishakatwa marinda
Kifupi ndio ukawa mwisho wetu
 
Baada ya uvumilimu kufikia ukomo ilibidi nimuulize kunani lakini amekua akisusa na kuanza kulia kiasi napatwa na Majonzi pengine nmemdhalilisha na kumletea unyanyapaa wa kiwango cha juu.
Mkuu POLE sana.

Hio reaction(kususa, kulia) na majibu anayokujibu huyo Dada, inaonyesha ana 78% kuwa ameshatobolewa Spika.

Ukijiridhisha kuwa analiwa tiGo, Nashauri uachane nae mara moja. Gari ya kwenye Driving Schools huwa tunaiacha shuleni, hatuipeleki nyumbani.

Be a Man, Stay Taliban.
 
Ha ha ha ha ha
Pole sana best achana nae huyo kashafumuliwa linda,
Iliwahi nikuta hiyo mchumba wangu kuna siku baada ya faragha akalala ,mm nikaamka kwenda haja ndogo,ile narudi naingia kwenye net nikahisi harufu,nikajua kapumua kwa kijampo,
Nikainuka tena ile pua inakaribia tako ni harufu ya mimavi tu,
Nikalala nikawa najaribu kumtia kidole
La haulaaa dole lilizama hata hajastuka nikajua hii tayari ishakatwa marinda
Kifupi ndio ukawa mwisho wetu
Kwahiyo ukashika mavi ya mchumba siku hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom