Msaada katika hili, je ana mimba kweli?

Cha msingi nenda hospital kampime ujue mimba ni ya mda gan then take zile days ambazo umelala naye apo utajua" but two dayz teyar mimba iyo apana
 
Habari za wakati huu wanajf:
Naombeni uelewa ktk hili:-

Nimekua na mahusiano na msichana mmoja wa kichaga tangu November 2015 tukiwa first year UDOM. Nimekuwa 'nikifanya' nae mara kadhaa ila mimi sijawahi kutumia salama. Juzi kati nikaomba nifanye nae akakubali na nilimuuliza unaeleewa uko katika wakati gani kwa sasa? Akadai yuko free na kwa hivyo hakuna shida.

Tukafanya hivo ila baada ya siku mbili mbele akasema anaumwa tumbo, nikamuuliza unaumwa kiaje? Akanijibu nahisi ni mimba. Sasa naomba mnieleweshe katika free days mwanamke anaweza kushika mimba? Na kama ndyo dalili za mimba zinaonekana muda gani baada ya tendo???

Nawasilisha!
Mpaka leo na upo chuo hujui mimba inaingiaje even if yupo safe days. kalenda huwa zinabadilika kulingana na mazingira so njia ya withdraw au kupiga ukiamini yuko free days madhara yake ndiyo hayo ya mimba zisizotarajiwa. wewe jiandae kulea mtoto maana kwa akili zenu za ki chuochuo mtaweza kwenda kutoa. Usije ukafikia huko
 
Vitu vingine havitakagi ujuaji!!!
Hivyo nikaamua kuomba ushauri kwa kweli sielewi chochote kuhusu hili yaani free days then mimba tena after two days hili geni kwangu. Hebu nisaidie
ndugu yangu hii ni Jamii Forums, kwenye msafara wa njiwa mikunguru lazima iwe pembeni, na walivyokuona New Member watakufanyia kila aina ya dhihaka, usiwajali, we wazoe maana humu wapo "wakamilifu" kila anaeleta suala lake haachwi kubezwa na kutukanwa
 
Ndo kama hivyo tena usimwamini sana mwanamke anapokuambia am in my safe days
 
Siogopi sema tu ni hili LA kufanya 2 days afu ananiambia mimba
Nani kakwambia ukifanya two days mwanamke hawezi kushika mimba? Unaweza ufanye mwaka na usishike so kuingia kwa mimba hakutoagi taarifa kuwa leo ndo naingia au la,we tulia jipange kuitwa baba tu hapo
 
Mkuu....
Usipende sana k.u.t.o.m.b.a. hao binti maana hawaeleweki ila kwa ushauri akapime huo ugonjwa kama ni mimba au la. na ukimkuta yuko safe muache,
Ushauri mzuri ukifanya nae mapenzi tumia njia nyimgine kule matakoni yaani ili kuepusha mambo hayo bora uwe una m.f.i.r.a. m.k.u.n.d.u.n.i.
Naamini utaufanyia kazi ushauri wangu
Nakutakia maisha mema
Na masomo mema pia.
 
Back
Top Bottom