Msaada katika hili, je ana mimba kweli?

huyo hana mimba na kama ana mimba basi sio yako anakuuzia kesi huyo. Yani mlale leo then kesho akwambie ana mimba sayansi ya wapi hiyo? Unless awe alishapata sa anatafuta mtu wa kumbambika ila kitanda hakizai haram boss we lea tu kama ipo kweli
Nimekuelewa sana
 
Asa kama kashashika mimba unataka free days za nn.Au ndo unakumbuka shuka wakati kumekucha inakubidi uamke kufuata majukum mengine.
 
Vitu vingine havitakagi ujuaji!!!
Hivyo nikaamua kuomba ushauri kwa kweli sielewi chochote kuhusu hili yaani free days then mimba tena after two days hili geni kwangu. Hebu nisaidie
Ni mara chache mtu akajua ana mimba ndani ya siku 2 na ikawa kweli.
Nenda hospitali kapime.
Kama bado hazijapita saa 72 tangu mmegane muulize kama ana mpango wa kulea kama hana nunua dawa zinaitwa P2 atumie hizo.
 
Nahic hazijapita masaa 72 ilah pia anasingizia hawezi kwenda kupima nikimuuliza kwann anasema anajua ni mimba hivo hana haja ya kupima
 
Mnataka kulea? Kama ndiyo basi acheni mngoje uthibitisho wa kukosa siku zake.

Kama hapana kanunue P2 mpe anywe.
Dar ni shilingi 5000.
 
Ni mara chache mtu akajua ana mimba ndani ya siku 2 na ikawa kweli.
Nenda hospitali kapime.
Kama bado hazijapita saa 72 tangu mmegane muulize kama ana mpango wa kulea kama hana nunua dawa zinaitwa P2 atumie hizo.
mkuu unapendekeza kutoa mimba?hii si sawa acha wawajibikie walichofanya
 
ushauri mwingine wahi ukapime ngoma na usisahau kurudi baada ya miezi mitatu coz umefanya ngono isiyo salama
 
mkuu unapendekeza kutoa mimba?hii si sawa acha wawajibikie walichofanya
Nchi yetu inaposema inafuata uzazi wa mpango inamaanisha inataka watu wazae kwa malengo pia hilo ni neno la siri kwa kusema wanaruhusu abortion...
 
mkuu hakuna dalili za mimba zinazotokea ndani ya siku mbili, the earliest ni 11 days kwenda mbele. kama anawasiwasi apige "morning after pill" window bdo ipo had 72 hrs. lakini mkuu focus kwny kusoma tu km vp au ongeza uelewa wako kwny maswala ya uzazi wa mpango na kuzuia mimba manake utapata shida sana
 
Ngoja nisubiri nione anachokipanga
 
Mh sidhan kama after two days mtu anaweza kusikia dalili za mimba. Mpeleke apimwe, pia watakwambia mimba ina muda gani
 
Back
Top Bottom