Msaada katika hili, je ana mimba kweli?

Msaada katika hili, je ana mimba kweli?

Kampime wew siunakumbuka siku yamwisho kkutana mchukue mkapime mtalamu atakuambia ina mda gani hiyo mimba alafu kaa Chin piga esabu zako jbu utapata usikubali kuwa bwege nihilo tu
 
Umepata mkopo lakin au ndo machungu ya kukosa mkopo unamalizia kwenye kupiga mbunye ??
 
Oh boy! If your PO game is as weak as yours truly, you don't go raw unless you're ready to be a daddy.
 
Kampime wew siunakumbuka siku yamwisho kkutana mchukue mkapime mtalamu atakuambia ina mda gani hiyo mimba alafu kaa Chin piga esabu zako jbu utapata usikubali kuwa bwege nihilo tu
Asante kwa ushauri wako ndg
 
huyo hana mimba na kama ana mimba basi sio yako anakuuzia kesi huyo. Yani mlale leo then kesho akwambie ana mimba sayansi ya wapi hiyo? Unless awe alishapata sa anatafuta mtu wa kumbambika ila kitanda hakizai haram boss we lea tu kama ipo kweli
 
Yaan hawa watoto ni shida ndio maana waziri alilalama mikopo inatumika vibaya, sasa hapo watataka wakaitoe. UDOM? kwel hiki chuo most of wanafunzi wake hawajitambui
 
Kumbe mkuu wa nchi aligundua kuwa kuwapa mkopo ni kuwapunguzia akili akaona bora awanyime tu .hebu fikiria uliko toka wazazi wako wanateseka kiasi gani wewe usome eti kesho unawapelekea na mjukuu wa kulelee je elimu yako itakuwa imekusaidia nn ? Mungu nusuru hiki kizazi
 
huyo hana mimba na kama ana mimba basi sio yako anakuuzia kesi huyo. Yani mlale leo then kesho akwambie ana mimba sayansi ya wapi hiyo? Unless awe alishapata sa anatafuta mtu wa kumbambika ila kitanda hakizai haram boss we lea tu kama ipo kweli
Nimependa ushauri wako mkuu
 
Back
Top Bottom