after one week akipima na upt anaweza kugundua ila dalili zakujionesha kabisa hawezikuona mpka week ya pili au tatu na hata mwez kabisaHabari za wakati huu wanajf:
Naombeni uelewa ktk hili:-
Nimekua na mahusiano na msichana mmoja wa kichaga tangu November 2015 tukiwa first year UDOM. Nimekuwa 'nikifanya' nae mara kadhaa ila mimi sijawahi kutumia salama. Juzi kati nikaomba nifanye nae akakubali na nilimuuliza unaeleewa uko katika wakati gani kwa sasa? Akadai yuko free na kwa hivyo hakuna shida.
Tukafanya hivo ila baada ya siku mbili mbele akasema anaumwa tumbo, nikamuuliza unaumwa kiaje? Akanijibu nahisi ni mimba. Sasa naomba mnieleweshe katika free days mwanamke anaweza kushika mimba? Na kama ndyo dalili za mimba zinaonekana muda gani baada ya tendo???
Nawasilisha!
Ndyooooo mbona ulizoudom ?
Asanteeee mkuuuuu ila ananirusha mapigo ya Moyo kweli kweliafter one week akipima na upt anaweza kugundua ila dalili zakujionesha kabisa hawezikuona mpka week ya pili au tatu na hata mwez kabisa
Tunasoma NDG na hayo ni mapungufu ya binadamuNyie mnasoma, au mnawaza mapenzi
Thanks kwa ushauri but bado haujanijibu ndgUkimlala mwenzio dry uwe tayari kuwa baba
Ushaambiwa mimba,hapo jipange tu hao viumbe wajanja sana alikuona hauelewek, akaamua akuganyie hvyo ili utulieHabari za wakati huu wanajf:
Naombeni uelewa ktk hili:-
Nimekua na mahusiano na msichana mmoja wa kichaga tangu November 2015 tukiwa first year udom
Nimekua nikifanya nae Mara kadhaa ila Mimi sijawahi kutumia salama juzi kati nikaomba nifanye nae akakuba. Na nilimuuliza unaeleewa uko ktk wkt gani kwa sasa? akadai yuko free na kwa hivyo hakuna shidah
Tukafanya hivo ila baada ya siku mbili mbele akasema anaumwa tumbo nikamuuliza unaumwa kiaje??? Akanijibu nahic ni mimba sasa naomba mnieleweshe ktk free days mwanamke a naweza kushika mimba??? Na kama ndyo dalili za mimba zinaonekana muda gani baada ya tendo???
Nawasilisha!!!!!!!
Duu!!!! Kweli hapa kazi tu aiseeeeeee sikutarajia kbsUshaambiwa mimba,hapo jipange tu hao viumbe wajanja sana alikuona hauelewek, akaamua akuganyie hvyo ili utulie
Hayo yote ya kweli ilah mambo yameharibika ni yameharibika tu cha muhimu changia mawazo yakoMwandiko wa mwanafunzi wa chuo huu. Acheni kushinda fb,shindeni library kujisomea vitabu vya riwaya, novel na masomo yenu. Ona sasa unavyozidi haribu sifa ya Udom.
Siku hizi mtu akishamaliza form six kuingia chuo basi anakurupukia mapenzi kwa fujo,hela hana ni kitegemezi kwa wazazi au bodi ya mikopo.
Hayo yote ya kweli ilah mambo yameharibika ni yameharibika tu cha muhimu changia mawazo yako
Ushauri hauombwi wakati umeshamkojolea mwenzioThanks kwa ushauri but bado haujanijibu ndg
Vitu vingine havitakagi ujuaji!!!Sorry kama nitakuudhi UMEFIKA HADI UNIVERSITY BADO HUJAJUA HAYA MAMBO AU
Swala LA kuwa fala silikatai NDG just nieleweshe na bila shaka nikikuelewa nitatekelezaWew fala kweli kakuambia anahis ana mimba so kampime daktar atakuambia u
ina mda gan