ushaelewa hiyo ramani?Asante sana mkuu
Bila shaka kaelewaushaelewa hiyo ramani?
Alaa kumbe, basi mzee atakuwepo hapo maana ndo mambo yake hayoLeo kuna mkesha.
Kwenye simu yako kuna app ya Maps itumie hiyo, au kwenye google map, nenda kwenye direction halafu weka sehemu unayotafuta. Dont come here again with similar question.