Jaribu kufuatilia kama wana kamera za cctv. Kama hawana wanashauriwa wawenazo. Wengi wamepata hasara kubwa sana pale. Hapafai kabisa kuacha kitu. Mie juzi nilisahau kufunga mlango, niliuacha wazi kabisa. Nilikuwa na laptops mbili. Jamaa mmoja, msamaria alipaki gari mbele yangu, aliita walinzi na alinisubiri hadi niliporudi. Nilijisikia nimepoteza kila kitu. Pole sana.
Mara nyingi vituvyako vingi muhimu weka (backup), Jitumie kwenye email.
nunua hidden camera unaiweka kwenye gari. Its so easy..ukitoka ndani ya gari yako unaiwasha na kuiacha , hata kama una getto au kuna jitu una mashaka nacho unaweza kufanya hivi.. Hii ni ushahidi tosha na no kompromaizi coz ipo kama cctv , i hope you know it
mnaosoma na kuacha mnashandwa hata kushauri?
Ndg zanga jana nilikwenda Mlimani City nikapaki gari yangu pale na kuacha baadhi ya vitu ndani ya gari kama laptop na hard disk GB 500 ikiwa na mambo muhimu sana kwa bahati mbaya nikaingia ndani NBC kurudi nikakuta wamevunja kioo na kuiba laptop na vingine kama modem ya Zantel, latop ni Toshiba l 555 17'. hapa naanza upya maisha . kama kuna ushauri naweza kupata kutoka kwenu itakuwa heri maana hapa na RB ya polisi ambayo najua kuwa ni kazi sana kupata vitu vyangu hasa baadhi ya document. kwa msaada nitafute kwa 0717020737.
najua kuwa mwaka wa hasara daima mjinga haujui. asanteni
Jaribio la kupata vitu vyako likae hivi, uandaliwe mtego itakwenda gari ikiwa na bag yenye laptop mbovu, vitu viwekwe waziwazi ndani ya hiyo gari, atendesha mwanamke kuingia nayo m/c awe pekeyake kwenye gari, akishuka aingie ndani ya jengo kuelekea supermarket, asigeukegeuke kuangalia gari ili kuwatoa wasiwasi hawa vibaka, watakapoanza kutekeleza ukibaka wao mtego utakaokuwa umetegwa kwa uangalifu mkubwa utafyatuka na kuwakamata, watapata kibano cha maana hadi wataonyesha walipouza mzigo wetu. 0787999608, nipo tayari kusaidia ku-set trap.
excellent idea to followJaribio la kupata vitu vyako likae hivi, uandaliwe mtego itakwenda gari ikiwa na bag yenye laptop mbovu, vitu viwekwe waziwazi ndani ya hiyo gari, atendesha mwanamke kuingia nayo m/c awe pekeyake kwenye gari, akishuka aingie ndani ya jengo kuelekea supermarket, asigeukegeuke kuangalia gari ili kuwatoa wasiwasi hawa vibaka, watakapoanza kutekeleza ukibaka wao mtego utakaokuwa umetegwa kwa uangalifu mkubwa utafyatuka na kuwakamata, watapata kibano cha maana hadi wataonyesha walipouza mzigo wetu. 0787999608, nipo tayari kusaidia ku-set trap.