Msaada kama kuna yeyote anaweza kusaidia.

Jaribio la kupata vitu vyako likae hivi, uandaliwe mtego itakwenda gari ikiwa na bag yenye laptop mbovu, vitu viwekwe waziwazi ndani ya hiyo gari, atendesha mwanamke kuingia nayo m/c awe pekeyake kwenye gari, akishuka aingie ndani ya jengo kuelekea supermarket, asigeukegeuke kuangalia gari ili kuwatoa wasiwasi hawa vibaka, watakapoanza kutekeleza ukibaka wao mtego utakaokuwa umetegwa kwa uangalifu mkubwa utafyatuka na kuwakamata, watapata kibano cha maana hadi wataonyesha walipouza mzigo wetu. 0787999608, nipo tayari kusaidia ku-set trap.

Asante ndg yangu nitakutafuta ili tufanikiwe kwani hii ni njia nzuri sana.
 
pole sana mkubwa,but usikate tamaa hivyo anza kufanya mazoezi ya kupiga mwizi ili siku huo mtego unafanikiwa unahakikisha hata msipovipata basi basi huyo mwizi anaipatapata
 
pole sana mkuu, tumia njia uliyoshauriwa kwani vibaka huwa wanafahamiana hata kama hatakuwa yeye lakini atakuwa anajua wenzake. Usichukue muda mrefu sana kutekeleza hili kwani unaweza kukuta mzigo umeshauzwa au hata ukiupata baada unaweza kukuta wamezi-format data zako.
 
kaka pole kwa yaliyokukuta!cha muhimu njoo hapa posta mitaa ya bilicanas ndio laptop zote zinapouzwa!waulize hao waosha magari hapo kuwa laptop yako imeibiwa mliman city ukiiipata utampoza!haichukui hata nusu saa utaiapata laptop yako.mm nilishawahi kuibiwa laptop ila kwa mda wa siku mbili niliipata,ilirudishwa nkaichukulia hapo posta waliipekeka!jamaa nilimpa elfu 50!ukiwa na jazba laptop yako hutaipata na cha muhimu ni data zako kaka.
 
kaka sasa utanisaidiaje hata laki 2 nitawapa sina jazba kabisa.
 
kaka pole kwa yaliyokukuta!cha muhimu njoo hapa posta mitaa ya bilicanas ndio laptop zote zinapouzwa!waulize hao waosha magari hapo kuwa laptop yako imeibiwa mliman city ukiiipata utampoza!haichukui hata nusu saa utaiapata laptop yako.mm nilishawahi kuibiwa laptop ila kwa mda wa siku mbili niliipata,ilirudishwa nkaichukulia hapo posta waliipekeka!jamaa nilimpa elfu 50!ukiwa na jazba laptop yako hutaipata na cha muhimu ni data zako kaka.

Hii ndio njia pekee ndugu kuipita laptop yako cha muhimu uwe na muda na uwe mvumilivu, kwa bahati mbaya nchi ndio ishaoza hii.
 
hiyo njia AK-47 ni nzuri na kama kuna uwezekano nisaidieni nipotayari kumpooza yeyote yule
 
Pole sana mkuu kwa matatizo.
Nadhani chances za kupata hivyo vitu ni ndogo sana, hivo ninge kushauri uspend less time kwa vitu and more time kujaribu kukusanya tena data zilizo potea.
Mara nyingi files zinatufikia kwa emails na zile uliandika mwenyewe lazma umezituma kwa email ao ulizi print. Anza mapeka kazi ya ku-compose tena files zako, huanzii upya, unaanzia kwa emails.
Pole sana aisee.
 
Pole sana ndugu, pale mimi nilishawahi kuibiwa vitu kwenye gari kama wewe na kuanzia siku hiyo kila nikienda lazima niwe na mtu ili abaki kwenye gari. Wakati mwingine huwa naona ni bora kuacha upande mwingine wa barabara, naegesha kwenye bar na ninakuta gari iko salama.
 
pole sana mkuu kwa matatizo.

poa nashukuru kwa ushauri wako
 
Pole sana ndugu, pale mimi nilishawahi kuibiwa vitu kwenye gari kama wewe na kuanzia siku hiyo kila nikienda lazima niwe na mtu ili abaki kwenye gari. Wakati mwingine huwa naona ni bora kuacha upande mwingine wa barabara, naegesha kwenye bar na ninakuta gari iko salama.

nDIO HIVYO HATA MIMI NIPO MAKINI SANA SASA HIVI MAANA WAWEZA CHUKUA HATA GARI SASA
 
Mimi niliibiwa vitu kama wewe pamoja na office documents, baada ya siku tatu nikapigiwa simu na wahudumu wa posta kuna vitu vimetumbukizwa kwao zikiwa na contacts zangu, nilipofika walinikabidhi isipokuwa labtop and the like. nilivyowauliza walinijibu kuwa vibaka hufanya hivyo mara nyingi. kwa hiyo unaweza stopby pale uwaulize
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom