Kitakachofuata ni mkurupuko wa hatarikama ni hapa dar mwambie awatishie ataenda na makonda
mwambie awche uchoyo, atoe tu asaidiwe..
kwani huyu kaambiwa atoe "dudu" au pesa?mie pesa nampa vzur..kama mtu kajitokeza kumsaidia,ampe tu asaidiwe fasta aendelee na mambo mengineNdiyo kusema kuwa hata Wewe Dada ukiambiwa utoe ' mbunye ' yako usaidiwe kitu fulani utakuwa tayari?
Habari wana jf,
Natumai mko salama.
Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu.
Kaka yangu anasumbuliwa sana kulipwa haki yake na hawa watu wa nssf, baadhi ya maofisa wanamlazimisha atoe rushwa ilicheki yake iweze kusainiwa, kitu ambacho amegoma.
Hivyo, kwa makusudi kabisa wanamsumbua na kumuhangaisha kwa muda mrefu sana.
Najua humu kuna watu wa aina mbali mbali na ninaamini mnaweza kumsaidia kaka yangu kupata 'haki yake'.
Tafadhali, nawasihi naombeni ambao mnayo nafasi kwenye eneo husika mumsaidie kaka yangu.
Natanguliza shukrani
kwani huyu kaambiwa atoe "dudu" au pesa?mie pesa nampa vzur..kama mtu kajitokeza kumsaidia,ampe tu asaidiwe fasta aendelee na mambo mengine
Mkuu umeandika vyema hasa. Siku hizi humu JF ukiuliza swali kuhusu ngono, kila mtu atakujibu, lakini mtu akiuliza mambo ya maana anaishia kupokea kejeli na matusi. Sio siri JF imepoteza muelekeo kabisa. Na hao mods sijui vipi, wao wako kimya tu. Kuna kitu lazima kifanyike ili kurudisha heshima ya JF. Inasikitisha kuona ngono inapewa nafasi kubwa mno.Siku hizi JF ukitaka upate msaada labda uulize jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni......au jinsi ya kusugua papuchi kwa muda mrefu.....lakini si katika mambo ya msingi kama haya.......
Maana yake ni kwamba wajinga na wapumbavu wameongezeka....hivyo watu wenye busara wameona si vyema kujiweka karibu na wajinga na kujiweka pembeni.....
Zamani JF ilikuwa kisima cha maarifa sasa hivi nj kisima cha ujinga.....
Taarifa hizi ziwafikie mods....jf irudi katika misingi yake
Malalamiko ya mtoa mada yanaweza kumkuta mtu yeyote yule...hivyo mchango wa uzi huu ungeleta manufaa makubwa sana.,,,
Tatizo vimejaa vitoto vya FacebookMkuu umeandika vyema hasa. Siku hizi humu JF ukiuliza swali kuhusu ngono, kila mtu atakujibu, lakini mtu akiuliza mambo ya maana anaishia kupokea kejeli na matusi. Sio siri JF imepoteza muelekeo kabisa. Na hao mods sijui vipi, wao wako kimya tu. Kuna kitu lazima kifanyike ili kurudisha heshima ya JF. Inasikitisha kuona ngono inapewa nafasi kubwa mno.