Msaada juu yahili

Msaada juu yahili

Joined
Jun 28, 2021
Posts
5
Reaction score
7
Kwa yeyote ambae na mawasiliano na mwalimu wa vyuo vya ufundi vifutavyo anisaidie
1: veta Chang'ombe
2: Veta pwani
3: Veta manyara
4: veta mtwara

Maana sijajibiwa kwa njia ya email na simu zao hazipokelewi.
 
Hawapokei simu yako kwa sababu hujuwi hata kuandika lugha yako....wanaona utawatia haibu.
hazipokerewi = hazipokelewi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom