Msaada juu ya Umeme wa Upepo

Msaada juu ya Umeme wa Upepo

Jstrong

Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
60
Reaction score
13
Wakuu napenda kufahamu wapi nnaweza kununua generator ya kuzalisha umeme kwa kutumia upepo (Windmill generato) angalau 200 watts .. na bei yake.
Natanguliza shukrani
 
Nasubiri Msaada wenu kwa anayefahamu wakuu
 
Back
Top Bottom