Umewahi install Windows Android au Ubuntu na jamii zake, maana hilo tatizo huletwa na Grub, ambayo huwa installed unapoweka hizo os tofaut na windows, hasa zenye kernel za ubuntu na android, mara nyingi solution yake ni kuistall new windows, au kuitafuta installer ya grub kwenye HDD yako na kuifuta japo si rahis sana maana hukaa kwenye system reserved partition ambayo SI RAHISI kuifikia.