Limetumika sana kipindi cha uchaguzi na watangazaji wa Azam TV. Utawasikia "John Magufuli anakuwa rais takriban wa 5". Mimi nahisi kama wanachemka hivi. Nilidhani takriban ni kama "nearly,""almost" etc.

Neno hili ni la kiarabu lugha mama:~ "Takriban limetokana na neno karibia au kadirio"
Lakini hapa uswahili tunalitumia kama Kadirio (kupima jambo maalaum) KifyatuMourine stephano