Msaada juu ya mtoto huyu sijapakaziwa?

Msaada juu ya mtoto huyu sijapakaziwa?

Duh!mambo ya appolo haya sina elimu nayo ila watu wamefunguka nadhani utakuwa umepata jibu ingawa wasiwasi ndio akili.
 
Zaidi ya 40% ya wanaume wanalea watoto wa kubambikiwa. Oh Lord God, hakika wanawake wanatutafutia kesi za mauaji....

Tatizo na ninyi mnapenda sana kugegeda ndio maana wanatumia hiyo nafasi. Btw I miss u
 
Hizi habari za kwamba wqnqopima DNA hawatoi majibu sahihi kwq kua watoto wengi si wa akina baba wanaoishi nao ni kweli? gharama zake zipoje na taratibu zipi za kufuata. msaada jamani kwa anayejua.
 
Usimbishie, wewe nyamaza usubiri mtoto akue kidogo then kampime dna. Ukishaona si wako mrudishe kwa mama yake salama then kamshitaki huyo mama akurudishie hela zote za matunzo ya mtoto ulizompa. Huyo anakubambikia mtoto kwa sababu baba halali wa huyo mtoto kamtolea huyo demu nje hivyo anatafuta baba wa kubambikizia. Jiulize, kwa nini mwanzoni alikuwa hataki kuongea na wewe? Jibu ninalopata ni kwamba alikuwa na mtu tayari na hakuwa na mpango nawe.
 
Habarini wana JF,

Kuna binti nliwahi kuwa nae katika mahusiano kwa takribani mwezi mmoja, ilikuwa ni mwezi wa 3 mwaka huu. hata hivyo niliondoka eneo hilo na kwenda kimasomo na wakati nipo masomoni, hatukuwa na mawasiliano mazuri kutokana na kiburi chake, japo Kuna wakati tulijuliana hali, chakushangaza mwezi wa 7 ndo akaanza kunambia ana mimba angu,kiukweli nilimpinga vikali kwan hakuwahi kunambia hata siku moja kwa muda wote huo, ambapo niliwahi kulala nae mara 3 kweli ndani ya mwezi wa 3.

Baada ya kuona ameniganda sana na anatishia kujiua endapo nakataa,nikaamua nimwambie nitaporudi likizo anipe kadi ya kliniki nione, kweli ilionesha angejifungua tarehe 14/12/2015 kwa walivomkadiria, binafsi nililala nae tarehe 6,15,22 mwez wa 3. Sasa yeye kajifungua juzi tarehe 3 mwez wa 12, ambapo kama mimba alishika siku ya kwanza, basi ni siku 3 zmefeli kutimia miezi 9. je ni sawa ama napakaziwa, ukizngatia kajifungua sipo huko aliko na mtoto sijamwona bado licha ya kutuma mahitaji kwa huyu binti, ila najikuta nawaza isije ikawa natumika!ushauri jamani kwa wazoefu wa haya mambo.

ni yakoo mkuu
 
Samahani mkuu,kwani wakati unat...ba ulikuwa unaingiza kwenye kichuguu?
 
Mwambie unasubiri mtoto akue kidogo then mkapime DNA uone atakavyosepa kama anajua huyo mtoto sio wako.

Nilishawahi kuona mdada mmoja alipata mimba akamlazimisha jamaa kuwa ni hadi akahamia nyumbani kwao huyo jamaa, ukawa ugomvi labisa ndugu zake huyo jamaa wanamwambia amuoe tu sasa jamaa akawa hataki.
mwishoni jamaa akasema wasubiri kwanza mtoto azaliwe wakapime DNA, yaani unaambiwa yule dada kusikia hivyo asubuhi yake aliondoka bila hata kuaga.
 
Mke wangu wangu amebeba mimba mwezi wa nne mwaka huu lakini jana kajifungua mtoto mzima kabisa tena ana afya nzuri tu hivyo yote yanawezekana.

hiyo sio mimba yako...simple
 
sasa na wewe kwanini ulimgonga huyo demu kavu ukiwa na mashaka nae?!
 
Mke wangu niliishi naye chini ya paa moja tulikuja gundua mimba miezi mitatu kuelekea minne...inamana ningekuwa mbali nisingemuelewa ningemuuliza inawezekanaje siku zote hizo hukujua...na kuhusu tarehe aliyoandikiwa kujifungua alijifungua badae sana baada ya hiyo tarehe....maelezo yako yanaonesha huyo ni mwanao,lea tu

hii ni kali mlifanyaje huo ugunduzi? au ni kama ule wa wazungu kugundua mlima kilimanjaro.
 
Pambaf.. mtaani kwenu hakuna condom? Unafanya ngono bila kinga ila unaka proof kwenye kadi ya clinic pretenda mkubwa!
 
Kuna kipindi huwa tunajifanya manunda, haswa kucheza peku gem na mabinti tena mara ya kwanza. Shukuru hujakwaa virus, umepewa zawadi ya mtoto
 
Mwambie unasubiri mtoto akue kidogo then mkapime DNA uone atakavyosepa kama anajua huyo mtoto sio wako.

Nilishawahi kuona mdada mmoja alipata mimba akamlazimisha jamaa kuwa ni hadi akahamia nyumbani kwao huyo jamaa, ukawa ugomvi labisa ndugu zake huyo jamaa wanamwambia amuoe tu sasa jamaa akawa hataki.
mwishoni jamaa akasema wasubiri kwanza mtoto azaliwe wakapime DNA, yaani unaambiwa yule dada kusikia hivyo asubuhi yake aliondoka bila hata kuaga.

Kupima dna kuna madhara yake pia, sana akidhibitisha yeye ndiye baba.
 
kwa deal za kujiajiri tembelea link hii
http://jamiiforums.com/?ref=167901
 
Mwambie unasubiri mtoto akue kidogo then mkapime DNA uone atakavyosepa kama anajua huyo mtoto sio wako.

Nilishawahi kuona mdada mmoja alipata mimba akamlazimisha jamaa kuwa ni hadi akahamia nyumbani kwao huyo jamaa, ukawa ugomvi labisa ndugu zake huyo jamaa wanamwambia amuoe tu sasa jamaa akawa hataki.
mwishoni jamaa akasema wasubiri kwanza mtoto azaliwe wakapime DNA, yaani unaambiwa yule dada kusikia hivyo asubuhi yake aliondoka bila hata kuaga.
Live namm ngoja nimstue kdogo nione atalichukuliaje!
 
Pima dna pori or ya kienyeji > mchukue motto muweke kwenye ungo ukiwa ungo umegusa ardhi, saa jua linaenda kuzama!; lipekisogo jua ili kivuli chako kimfunike yule baby! kama ni mwanao katoto katachangamka, kama sio wako katoto katakufa Mara moja!
 
Ni wako. Ila usiogope, hatokuwa na kiburi kama mama ake ( kama ndilo unalohofia )
 
Back
Top Bottom