Msaada juu ya motor rewinding

Msaada juu ya motor rewinding

255_viny

New Member
Joined
Aug 4, 2021
Posts
4
Reaction score
2
Habari zenu wapendwa. Nilikuwa naomba msaada juu ya usukaji wa mota za aina zote yani Three phase na single.
 
Unataka kusuka mwenyewe? Au unataka fundi wa kukusukia? Au kuna jambo hulielewi kuhusu usukaji wa motor ungependa ueleweshwe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom