Miss lb4lyf
Member
- Sep 3, 2022
- 30
- 19
Nashukuru kwa mawazoUna mawazo mazuri sana, kwanza kabisa mimi ni muhitimu wa chuo kikuu SUA 2020, Niko Iringa kibiashara, nilianza na urembo na sasa nina Ofisi ya Vipodozi
Urembo namaanisha vitu kama hereni, lipstick, makeups, vioo, vitana n.k
Vipodozi namaanisha lotion, mafuta ya mgando, spry, sabuni n.k
Kwenye izo biashara mbili ukiweza kuanza na urembo una faida kubwa kuliko vipodozi kwa uzoefu wangu
Naomba kuwasilisha
Hornet biashara ya vipodozi ndio kitu anafanya. Mpandie Pm akichelewa kuja hapa.Nashukuru,pia mimi new member ivo naomba sana support yenu wakuu
Kwanza nashukuru dada,heshima yako,mipango yangu ni kuanza na vipodozi kam mafuta,rosheni ,sabuni,serum,dawa za nywele,make up kwa ujumla na vyote vinavyo fanya vizuri sokoni,plan yangu nikuanza na pics chache chache lili kujua ni vipodoz vip vitakua na wateja wengi ndo niwe naweka vingi kidogo,pia sipo mjini lakini pia sio nje sana mji, ni Dar road kabla ya kisasa kwa kutika mjini,,eneo hilo mimi pia huwa napata shida kupat bidhaa zangu za urembo sababu hakuna duka zuri la urembo lililojikita na vipodozi tuuu ,dawa za nywele na mafuta unavikuta kweny maduka ya vitu vya nyumbani ivi, ko nimeona nianze na uku,kabla ya kwrny ku compit mjini ambapo yapo,lakin pia natamani kupata muongozo mzuri juu ya vipodozi vya kuanza navyo,ila kiufupi kwa maeneo ya uku kuna uhaba wa duka la vipodozi na urembo,AsanteeeDodoma ujipange haswaa kuna watu pale hawategemei mzigo wa kariakoo lazima ujikaze kwenda nao sawa
Umepanga kuanzaje biashara yako?
Yaani aina ya Vipodoz?
Bila shaka maongezi yameamia PMKwanza nashukuru dada,heshima yako,mipango yangu ni kuanza na vipodozi kam mafuta,rosheni ,sabuni,serum,dawa za nywele,make up kwa ujumla na vyote vinavyo fanya vizuri sokoni,plan yangu nikuanza na pics chache chache lili kujua ni vipodoz vip vitakua na wateja wengi ndo niwe naweka vingi kidogo,pia sipo mjini lakini pia sio nje sana mji,ni dar road kabla ya kisasa kwa kutika mjini,,eneo hilo mimi pia huwa napata shida kupat bidhaa zangu za urembo sababu hakuna duka zuri la urembo lililojikita na vipodozi tuuu ,dawa za nywele na mafuta unavikuta kweny maduka ya vitu vya nyumbani ivi, ko nimeona nianze na uku,kabla ya kwrny ku compit mjini ambapo yapo,lakin pia natamani kupata muongozo mzuri juu ya vipodozi vya kuanza navyo,ila kiufupi kwa maeneo ya uku kuna uhaba wa duka la vipodozi na urembo,Asanteee
Habari vipi ulifikia wapi biashara yako ya vipodozi nataman kupata experienceHabarini,, wakubwa heshima yenu,,, mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs,sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda, na ata nilichosomea niki aplly kweny biashara hii naona kabisa vinauwiyano, kipind nasoma nilishafany biashara ya salon ya kike na nimekua nikijifunza mambo mbali mbali kwenye vipodozi na urembo hivyo naona kua naweza fit kuliko kwenye biashara nyingine, Msaada wenu juu ya mambo yafuatyo
(1)Mambo ya muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza business hii
(2) Mambo ya kuzingatia katika kutafuta loction,mimi nipo dodoma
(3)mambo muhimu ya kuyaepuka katika kuendesha biashara hii,nitakaa mwenyewe sitaitji mfanyakazi kwa sasa
4) machimbo mazuri ya mzigo ya jumla kwa bei nzuri,ata kumi me ntayaangalia yote tu kupata zuri zaidi
4) jinsi ya ku win soko la biashara hii na wateja sehemu nitakayofungua
Na je kwa hii 5m Inatosha kwa kuanzia,
Asanteni naomba mchango wenu sana wana jamii forum na kama kuna chakuongezea pia ushauri nitafurah, Natanguliza shukrani