Msaada juu ya malipo ya bima ya gari:

Hivi kuna umuhimu kweli wa kufanya bima ya magari binafsi kuwa ya lazima? Naona ingefanywa hiari kwa anayetaka..ni wazo tu wadau
Kwa tanzania ni bora ukate thid part ujue moja kwa incase of damage unagharamia mwenyewe kuliko unalipa karibu milioni moja kila mwaka halafu ukipata ajali mizengwe inaanzai
 
Inategemea na wakala anao watumia. Wakala wengine ni usumbufu sana.
 
.Maelezo mazuri lakini kasoro ipo hapo kwenye kulipya gari jipya.most ya magari yetu ni used so utalipwa kulingana na uchakavu wa gari yako.Kama umenunua gari mpya kutoka kwa dealer eg D.T Dobie na bahati mbaya ukapata ajali ndani ya mwezi mmoja hapo unalipwa gari jipya kwa sababu depreciation itakuwa very minimal

asante sana mkuu!. mia
 
mkuu ni kampuni ipi ya bima ambayo ni nzuri?
sijafuatilia bei za kampuni zote lakini naikubali The jubilee Insurance. COMPREHENSIVE ziko hivi;-gari hadi cc 1500 ni 4-3% ya bei ya gari,-gari zaidi ya cc 1500 hadi ton 2 ni 4-2%.bima ndogo cc 1500 ni tsh 50,000/-, zaidi ya cc 1500 ni tsh 60,000/-tons 2 ni tsh 50,000/-.Hizo bei ni kwa private vehicles tu. mfano kuna commercial(goods carrying na tankers), motorcycles, tour operator, ambulance, tractors, min bus n.k. mia
 
Ahsante nashukuru

9 years now. Bado hizi percantage zipo hivi hivi? Sorry
 
Back
Top Bottom